Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Acheni huo upumbavu wa kitoto, Abdul Nondo alikuwa na mke wa mtu hapo stendi ya Magufuli?epuka dhuluma na tamaa hasa za wake za watu, na kamwe hutafumaniwa na kisha kusingizia huo ushirikina wako, vinginevyo utaingia kwenye machafuko na mume wa wenyewe, na hueda you will be no more..
una mke au mchumba huko mtaani kwenu. Kwanini unamendea wachumba na wake za wenzako, ukipigwa ngeu eti nimetetekwa, that is useless and completely nonsense 🐒
Watekaji walipokuwa wanampiga na kumuambia aache mdomo ndio kumendea wachumba za watu?
Au tuseme hao watekaji wanaoteka kwa sababu za mapenzi na dhuluma serikali haina uwezo wa kuwakamata au ndio unataka kuniambia yale maigizo ya Deo Bonge?
Hakuna manufaa yeyote serikali ya CCM itayapata kwa sababu ya utekaji.
Taasisi mbalimbali na mashirika ya dini kama CCT na TEC wanapoanza kupigia kelele utakaji serikali inafaidika nini?
Hamuoni kuwa wanaweza kuchochea waumini wao kuchukia CCM?
Hamuoni kuwa matukio ya TRA tegeta yanaweza kuongezeka? Mnataka kuipeleka wapi nchi yetu?
Polisi ni ya CCM, tume ya uchaguzi ni ya CCM, hofu inatokea wapi?
Hao akina Abdul wana nini cha kulitishia chama dola CCM hadi watekwe na kupewa kipigo?
Nyie tawaleni kwa amani tu hakuna mtu wa kuwaondoa madarakani, acheni kusumbua watu wasio na madhara yeyote.
