Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
gentleman,Kuwatumikia au kuwateka?!
mabadiliko ya wakuu wa taasisi, wizara au idara za serikali hulenga kuchochea ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi,
hata hivyo, mabadiliko hayo yanaweza kua ya kawaida, mabadiiliko ya kimkakati, ya kiutendaji, ya kisiasi au shinikizo za ndani na nje ya nchi.
kwa mabadiliko ya jana kwenye serikali kuu ya Tanaziania ni mabadiliko ya kimkakati na ya kiutendaji yanayolenga kuchochea mageuzi na ufanisi wa kisekta katika kuleta matokeo katika masisha ya wananchi
Mungu Ibariki Tanazania
