Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwani shida ni kutekwa au kutekwa wazi wazi?Ila Masauni alizingua Sana. Watu wanatekwa yeye kimya.
Asemaje sasa wakati wanaotekwa na kuuawa siyo Wazanzibar!Ila Masauni alizingua Sana. Watu wanatekwa yeye kimya.
Poti!Tena kacheleweshwa sana.ilitakiwa mapema tu.
na kapewa wizara nyingine.
SEMA ndo Raha ya kupanda BOTI MOJA.
Police 🚔 kushiriki shughuli za siasa.Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Gentleman,Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Kwa hiyo anayetakiwa kushughulikia utekaji, na hashughulikii anaongezaje ufanisi wa serikali yzko sikivu.Gentleman,
Mabadiliko serikalini, hufanyika kwa madhumuni ya kuboresha utendaji kazi kwenye idara au sekta fulani serikalini na kuchochea ufanisi katika kuwatumikia wananchi na si vinginevyo 🐒
Huko anaenda kujifunza muungano akija kuibuka ni mgombea uraisi upande wa ZenjiBora alivyo pelekwa Muungano na mazingira, huko ataweza.