Injinia Masauni, utekaji umemuondoa Mambo ya Ndani?

Wizara ya mambo ya ndani ilimshinda,aliko pelekwa atakeenda kufanya nini huko?
 
Nafikiri kama angekaa nje kabisa angekuwa katika mazingira mazuri ya kusema anachokijua kuhusu utekaji na watekaji
 
Upatiwe wizara husika tuupime ufanisi baadae?
 
kuna aliyejisemea kuwa angepelekwa kulinda mikoko fukweni maana hata huko kwenye mazingira anaenda kuachia mashavu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora hiyo wizara ya Muungano, awe buzzy na wazenji wenzie.
 
Mkuu Jidu La Mabambasi
Ushauri na angalizo
Hapo bado hakuna chochote kilichofanywa kwa kuwaacha wafuatao
1. Wizara fedha-alitoka hadharani na kuapa waliowashambulia watu waliojiita TRA kwamba watalipa
2. ZPC Dar -huyu siku zote kila akiongea kuhusu masuala ya uhalifu anatisha raia
2. ZCO Dar-huyu yuko kimya hajawahi kutoka hadharani kukanusha tyuhuma zinazomhusisha
3. RC Dar-huyu anaubabe dhdi ya raia wanaomlipa mshahara. Kathibitisha kwamba yeye ndio huwa mtendaji wa matukio karibu yote ya utekaji maana kakikiri hadharani msibani kwamba alishapewa 'advanced security instruments' to clean the arrogance among the citizens within his area of administration giving example at Simu2000, Kunduchi mwaloni and this time around the machinery shall clean up at Tegeta!!!!!!!
Link:
View: https://www.youtube.com/watch?v=zRfwpLTSgqgLink: RC Chalamila: Alipouawa Afisa wa TRA patasafishwa
4. RC Mbeya utesaji wapinzani
5. RC Mwanza kutumia mabavu kutetea uhalifu na kuingilia masuala ya michezo kinyume na sheria.

Vichekesho
Prof Palamagamba Kabudi kupelekwa wizara ya michezo....ni dharau ni bora angemweka pembeni ikajulikana moja.

Huko ujenzi vituko vya Pwani vimepelekwa yule jamaa ana dharau sana hasa kwa hayati JPM

Angalizo: waziri aliyepelekwa mambo ya ndani amechomekwa kwenye bomu kubwa linatokota pendekeza IGP, DCI waliopo waondoshwe vinginevyo zoezi la utekaji litakubuhu utashangaa. Pili msitumie nguvu kuwakabili wananchi wa Tegeta ila serikali mnatakiwa kujitafakari maonyo mengi mlishapewa lakini mnadharau wananchi kutokana na madhira wanayopitia. Fikiria mzee Ali Kibao katekwa mchana kweupe Tegeta Kibo kisha usiku wake kauwawa na kutupwa pembeni ya barabara ya Kunduchi-Ununio hawakumtupa kwenye vicka vya miti ya mikoko kama inavoaminishwa. Alitupwa kando ya barabara nje ya ukuta wa eneo la kiwanja ambacho hakina nyumba ya kudumu ya makazi karibu na bustani ya nyanya.
'Point of No Return'

Upendeleo (Double Standards)

1. Mfanyakazi anayedaiwa ni wa TRA kuchangiwa na kununuliwa hisa benk kuu ili kutunza familia na kusomesha watoto kwa kipindi kisichopungua miaka 25!!!!
'
2. Ally Kibao rambi rambi ya shilingi 5,000,000/= basi
 
Acha kuchekesha. Wakati chura kiziwi anadai ni "viji_drama" , yeye Masauni afanyaje Tena hapo zaidi ya kunywa mvinyo!?
 
Masauni aling'olewa meno na hata Bashungwa atang'olewa meno haya mambo ya kutekana hayajaanza leo
 
Du...kuna jamaa huwa wanasema...mbombo ngafu!
 
Wapendwa nini kimetokea kati ya polisi na magereza??
 
Atakumbukwa kwa mambo meusi ya damu na vilio 😭😭
Very sad
 
Yawezekana! Ila raia wamechoka kabisa kabisa kabisa. Haiwezekani hili swala TULIVUMILIE!
Hatuwezi kuvumilia Ujinga huu, huwezi kuwapumbaza watu wote muda wote, yaani watu wote tufikiri wanavyotaka wao?
 
Gentleman,
Mabadiliko serikalini, hufanyika kwa madhumuni ya kuboresha utendaji kazi kwenye idara au sekta fulani serikalini na kuchochea ufanisi katika kuwatumikia wananchi na si vinginevyo 🐒
Kuwatumikia au kuwateka?!
 
Mkuu.Mlitaka aangaike na anajua watekaji ni mpango wao wenyewe. Yeye kachagua njia isiyo na unafiki. Wewe unamtuma mtu amchape mtoto fimbo alafu utoke umkemee yule uliyemtuma amchape mtoto ?. Nafsi inamsuta akachagua kutokuwa mnafiki kakausha tu
Kutegemea matokeo kwa jambo unalolijua yaani kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo chanya, huu unaitwa ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…