gentleman,Kuwatumikia au kuwateka?!
Kabisa mkuuKutegemea matokeo kwa jambo unalolijua yaani kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo chanya, huu unaitwa ujinga
Lakini vile vile kufanya mabadiliko ni kwa kuona na kufanya uamuzi wa kuwaondoa viongozi wasio na weledi, wasiofanya kazi ipasavyo na ambao ni mzigo kwa taifa kiuongozi, kwa nafasi walizonazo.gentleman,
mabadiliko ya wakuu wa taasisi, wizara au idara za serikali hulenga kuchochea ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi,
hata hivyo, mabadiliko hayo yanaweza kua ya kawaida, mabadiiliko ya kimkakati, ya kiutendaji, ya kisiasi au shinikizo za ndani na nje ya nchi.
kwa mabadiliko ya jana kwenye serikali kuu ya Tanaziania ni mabadiliko ya kimkakati na ya kiutendaji yanayolenga kuchochea mageuzi na ufanisi wa kisekta katika kuleta matokeo katika masisha ya wananchi
Mungu Ibariki Tanazania
Siyo siri Masauni was underperforming kwa nafasi aliyokuwa nayo. He had to go maana lawama zote zilikuwa zinaichafua serikali.Lakini vile vile kufanya mabadiliko ni kwa kuona na kufanya uamuzi wa kuwaondoa viongozi wasio na weledi, wasiofanya kazi ipasavyo na ambao ni mzigo kwa taifa kiuongozi, kwa nafasi walizonazo.
Watu wanao itwa waislam na uongozi ni vitu viwili tofauti kabisa hawaweziWaziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Kwanza ni Eng wa kitu gani huyu mzee?Huenda kazi aliyotumwa na Mama ameimaliza!
Jumba bovu ameangushiwa Bashungwa!
Sahihi snWatu wanao itwa waislam nanuongozi ni vitu viwili tofauti kabisa hawawezi
Anabebwa na dini + uzanzibar uwezo hanaSiyo siri Masauni was underperforming kwa nafasi aliyokuwa nayo. He had to go maana lawama zote zilikuwa zinaichafua serikali.
Hivi ishu ni nini polisi na magereza embu nipe muongozoWaziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama kimya!
Waziri Masauni kimyaa!
Sasa mama kaongea!
Kuendelea kuwaamini waislam katika uongozi wa nchi ni kuendelea kujidanganya, hawa watu wanahongeka kirahisi wanaweza kuuza nchiCha ajabu utaambiwa Masauni ni mtu wa "system" au anaandaliwa kuwa Rais wa zanzibar. Ndio unabaki unajiuliza kwamba hizi low IQ ndio potential kwenye "system" ya Tanzania? Ajabu sana
Wala hujakoseaCha ajabu utaambiwa Masauni ni mtu wa "system" au anaandaliwa kuwa Rais wa zanzibar. Ndio unabaki unajiuliza kwamba hizi low IQ ndio potential kwenye "system" ya Tanzania? Ajabu sana
Ndio raha ya kuwa CCM kila kiumbe anaweza kuwa KiongoziMh. Rais kafanya maamuzi mazuri sana, Masauni alikuwa kama hayupo kabisa, matukio makubwa yanatokea, yeye kimyaaaa
Ndio raha ya kuwa CCM kila kiumbe anaweza kuwa Kiongozi
Huko Iringa gari la Magereza na maafisa wake wamebebwa msobe msobe na gari kupelekwa kituoni mjini Iringa.Hivi ishu ni nini polisi na magereza embu nipe muongozo
Umeelezea sawia kabisa.Huko Iringa gari la Magereza na maafisa wake wamebebwa msobe msobe na gari kupelekwa kituoni mjini Iringa.
Wote majeshi yaliyo wizara ya Ndani.
Siyo kwamba wanataka kuleta ufanisi kwenye sekta ya utekaji, ili wawe wanateka zaidi na kuua kabisa?gentleman,
mabadiliko ya wakuu wa taasisi, wizara au idara za serikali hulenga kuchochea ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi,
hata hivyo, mabadiliko hayo yanaweza kua ya kawaida, mabadiiliko ya kimkakati, ya kiutendaji, ya kisiasi au shinikizo za ndani na nje ya nchi.
kwa mabadiliko ya jana kwenye serikali kuu ya Tanaziania ni mabadiliko ya kimkakati na ya kiutendaji yanayolenga kuchochea mageuzi na ufanisi wa kisekta katika kuleta matokeo katika masisha ya wananchi
Mungu Ibariki Tanazania
mtazamo na maoni yako ni uhuru na haki yako kikatiba,Siyo kwamba wanataka kuleta ufanisi kwenye sekta ya utekaji, ili wawe wanateka zaidi na kuua kabisa?
Waambieni hao CCM wakomeshe utekaji, nchi inaweza kuingia kwny machafuko kwa sababu ya upumbavu tu,mtazamo na maoni yako ni uhuru na haki yako kikatiba,
ukiitumia vizuri au vibaya haki na uhuru huo, pia ni uamuzi na haki yako.
Ilimradi unapata huduma nzuri na za uhakikia za maji, afya, umeme n.k chini ya serikali sikivu ya CCM π
epuka dhuluma na tamaa hasa za wake za watu, na kamwe hutafumaniwa na kisha kusingizia huo ushirikina wako, vinginevyo utaingia kwenye machafuko na mume wa wenyewe, na hueda you will be no more..Waambieni hao CCM wakomeshe utekaji, nchi inaweza kuingia kwny machafuko kwa sababu ya upumbavu tu,
Hakuna tishio lolote la kuondolewa madarakani, utekaji wa nini?