Injinia Soma hiyoo: Simba yasajili striker kutoka Brazil

Kabisa mkuu,, tufike mahala tuongee ukweli tuache ushabiki wa simba na yanga,,

Mpira wa africa ni mpira mgumu kiukwel, mpira unahitaji nguvu na skillz,,

Tp Mazembe si umeona vijana wao
Mkuu pale Mazembe mpira kazi ,na ni sehemu ya maisha ,hkn mchezo mchezo ,Ndio maana wako serious mno kuanzia ,viongozi, wachezaji ,makocha hadi mashabiki
 
Mkuu shukran kwa upekuzi, tumepigwa,, nadhani hata Moe hajafurai hii kitu
 
Shida timu zetu bado sana kwenye scounting. Mchezaji anafuatiliwa mwaka mzima au hata zaidi. Kuna watanzania wangapi Zambia, Kongo, Zimbabwe, Nigeria n.k. ambao ni wanachama wa Simba ambao wangeweza kumpoint mchezaji kwenye ligi za huko halafu wakawatumia taarifa benchi la ufundi likawa linasafiri kwa zamu kwenda kuangalia maendeleo yake uwanjani na afya (maana wengine ni majeruhi mara kwa mara) kila timu yake inapocheza. Hii ya kutegemea kuletewa na mawakala wakati ligi imeshaisha tuombe Mungu tu huyu mbrazili kwani muonekano wake na uchezaji sio "goal porcher" kama Kagere.

Usajili wowote kwenye eneo la ushambuliaji kwa simba reference ni Kagere, Kwenye beki ya kati ni Nyoni, kwenye mbavu ni Kapombe, kwenye kiungo cha kukaba ni Kotei na kiungo cha ushambuliaji ni Chama. Wakija wachezaji wapya lazima wawe sawa au zaidi ya hao.
 
Mh kwakweli mimi hata sielewi kinachoendelea, sijui lengo la klabu yangu ni lipi!! Mbona kuna wachezaji wengi wazuri hapa africa duh, ila sijui nini kimeangaliwa!! Yaani hata shonga hatujamwona kweli hadi twende huko brazil!! Ila ngoja tuone kwakuwa ni usajili wa pili kutoka nje siezi jua!!
 
Kunywa kinywaji ukipendacho nakuja kulipa
 
Mkuu nafurai kuona unaujua kuufatilia mpira pengine kuliko hata mm!! Mm nimesusa kufatilia usajili Man utd ni vituko kule,, tutapata shida mwakani Epl,,

Ila kwa Simba bado mapungufu ya namba 5,4,3,6
Simba namba 4 na 5 Ni tatizo kubwa na wanatakiwa wapate wachezaji wazoefu wa michuano ya klabu bingwa africa lakini wasioienda umri Kama Pascal Wawa, hizo nafasi sio zakuleta wabrazil
As Vita 5 Simba 0
Al Alhy 5 Simba 0
Simba inatakiwa beki zitakazosaidia kufungwa goli chache ugenini
 
Mkuu umechambua vizuri sana, agiza soda nakuja kulipa
 
Kabisa mkuu, hata siamini ujue,,,

Mda mwingine huwa tunamwangusha Moe ss wenyewe,, ivi mtu mmeaminiwa na mkapewa jukum la usajili mnatuletea huyu?

Hapa scouts wetu amelala
Ndio hivyo inabidi uamini tu, ila mpeni muda ,season bado anaweza kufanya wonders
 
Upo sahihi kabisa Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…