OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jokes: Jamaa inasemekana ana uwezo wa kupiga chenga uwanja mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flamingohivi Jaja na yule coutinho sasa hivi wanachezea vilabu gani?
Hahahaha,yajayo yanafurahisha mko tayari ?hivi Jaja na yule coutinho sasa hivi wanachezea vilabu gani?
Wapo timu moja na Danny Sserunkumahivi Jaja na yule coutinho sasa hivi wanachezea vilabu gani?
kuwa serious basii...Flamingo
View attachment 1133335
Jokes: Jamaa inasemekana ana uwezo wa kupiga chenga uwanja mzima
Hata mie naona, tena kitu kikubwa tu ,si kwa surprise hizi asee..Simba kuna kitu mwaka huu! Ngoja tuone! Wazee wa mbwembwe wanaokoteza tu!
Kuna kitu Simba wamekiona huwezi kujua, tusubiri tuoneHuwa nakumbuka sana goli la Jaja dhidi ya Azam ,lilikuwa la ufundi mno! Yule Jamaainawezekana alikuwa anajua kucheza /kuchezea mpira akiwa peke yake...danadana! kama yule dada wa Trump!
Kiukweli kwa hawa wachezaji kutoka Mataifa makubwa ni kucheza patapotea!
Mkuu wewe pia ni mwanasimba ?Hata mie naona, tena kitu kikubwa tu ,si kwa surprise hizi asee
Ila umoja huu wa sasa ktk kushangilia huu usajiri uendelee hadi ligi itakapoanza hadi kuisha
Hapana mie ni Tout Puissant Mazembe Englebert ,hahahahaMkuu wewe pia ni mwanasimba ?
Huyo jamaa itakuwa ni muuza Matikiti au Kinyozi huko Brazil
Hapana mie ni Tout Puissant Mazembe Englebert ,hahahaha
Ila timu za Simba na Yanga nazifuatilia Sana
Kwani kuwa serious mpaka uone nimekasirika mkuu?kuwa serious basii...