Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

Umehamia kwa Bashungwa sasa, unahangaika kama kuku anayetaka kutaga
 
Jack of all trades, master of none!
 
UCHAWA unamsaidia kama wewe UCHAWA unavyokupatia kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…