Innocent Bashungwa amejiwekea rekodi ya kupita na kufanya kazi Wizara nyingi sana.Unafikiri sababu ni nini?

Sababu ya jina lake la kwanza “Innocent” aliempa hakukosea
Mara nyinyingi majina ya kwanza hasa ya utotoni unapozaliwa hubeba, (huwakilisha), picha nafsi, self-image, picha nafsi ni tabia ambayo binadamu anaijenga kwa muda mrefu na kuibadilisha huwa ni ngumu

Self-image can uphold or destroy yourself
 
Acha ukabila
Tatizo Muhaya /munyambo akipewa uongozi mkuu wa nchi hii ndani ya miaka miwili sekta zote muhimu za kiserikali zitashikwa na watu wa kabila lake na akiulizwa atasema wahaya/ wanyambo wamesoma sana na Wana akili sana sababu wanakula senene wana protin nyingi.
Nye nashoma , nye ndi na amagezi gengi hao jamaa hawafai kupewa nchi.
Hata huko kubadilishwa wizara mara kwa mara ukute ni kuepusha asije kujaza watu wa kabila lake katika sekta zilizopo chini ya wizara yake endapo atakaa kwenye wizara hiyo kwa muda mrefu.
 
Kuna kitu anacho,ata mm Kuna muda kazini kwangu napewaga nafasi ata sielewi ila Amin Amin Kuna kitu Cha utofauti bashungwa anacho pia ukimwangalia tu unajua ni mtu mwenye hofu ya Mungu
 
Kwa sababu mama mkwe anajua kifua cha mkwe wake kilivyo kipana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…