Kukabidhiwa kuongoza wizara inayonuka damu pamoja na rushwa, ndiyo kuuziwa jumba bovu kwenyewe huko waswahili wanasema!
Akifanya mabadiliko yoyote yale hata ya kukemea tu teka teka na mauaji ya raia wasio na hatia yanayoendelea, kiuhalisia 'credit' yake itapanda mara elfu na sifa ambazo hupewa za kuwa 'anafaa' zitapata mashiko.