Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Kama vipi tuutafute uraisi wa 2040!Mimi Sitafuti uteuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vipi tuutafute uraisi wa 2040!Mimi Sitafuti uteuzi
Duh hili nalo kubwa sanaYupo yupo tu kama bajaji katikati ya foleni la malori
Angalia pote alikopita utuoneshe alichofanya au ubunifu aliotekeleza ulete jibu.Duh hili nalo kubwa sana
Kala Tu masekretariAngalia pote alikopita utuoneshe alichofanya au ubunifu aliotekeleza ulete jibu.
Umewaza ki-technically haswa!Huyu alipikwa kuwa Rais lakini kwa hiyo Wizara waliyompa ndio Basi tena labda abadilishe Hali ya mambo ya wasiojulikana
Inawezekana Samia kanusa 2025 kaamua kumzika Bashungwa!!
HahahaKwani lini nilisema nataka kuteuliwa ewe ndugu yangu mtanzania mwenye akili ndogo kama punje ya ulezi.
'Kupachikana' si kiswahili kizuri saaana, hasa unapoongelea siasa.
Huna adabuMteuzi na mteuliwa
Kopo na mfuniko