Pre GE2025 Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtaleta hadi kuku kuongoza nchi hii! waulize karagwe wakueleza zaidi ya huyu MCHAWI
 
Kuna kipindi watu walikua wanasema February ni presidential material walikua wanaangalia nn? Au tweet zake?
 
kuna shida ya ukabila na ubaguzi, ama la angefaa. ukitokea karagwe lazima uwe ccm, ama la watakutafutia nchi ya kukupeleka, hata wahaya wengi huwa hawaamini wenzao wa karagwe kama ni watz kutokana na lafudhi na lugha. ila ukweli, tunahitaji kijana tena wa kiume na tena anayetoka bara. na zamu ya waislam imeisha, anatakiwa mkristo.
 
bashungwa ni kweli..ametulia sana. ila wasiwasi wangu kizazi cha kuanzia 2030 kinataka mtu mkali. utulivu wa bashungwa ni wa kuyumbishwa kilahisi.inaonekana hajiamini.
ila kwa mawaziri wa sasa yeye ndio kabaki kua bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…