Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Mzee sana huyuView attachment 3064401
chawene ana wazoom kwa mbaali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee sana huyuView attachment 3064401
chawene ana wazoom kwa mbaali
Amekutuma?Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.
1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu
Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana .
Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.
1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu
Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana .
Yeye na CEO wa Tanroads hawana muunganiko unaeleweka halafu hayuko makini kufatilia majukumu yake ipasavyo..Innocent Bashungwa ni zezeta.
..hatuwezi kuwa na Rais kazubaa kama Innocent.
Yeye na CEO wa Tanroads hawana muunganiko unaeleweka halafu hayuko makini kufatilia majukumu yake ipasavyo
Tumempendekeza tu,ila bado tunaendelea na vetting.Mbona Wamesema 2030 ni Kafulila au kunamabadiliko?
Naona mnatuandaa kisaikolojia kwamba uchaguzi wa 2025 umeshaisha na mtia Nia Tayari ameshinda SI ndio!!?
Au mnamzubaisha Ili iweje!!?awe kwenye comfort zone halafu ghafla!!!?
Nyuzi za kafulila ,Bashungwa au mgombea Toka Kanda pendwa zinamiminika sana humu jamvini yaani Kanda ya ziwa mnawapoza mapema Ili mfanye yenu au!!?
Hii ni counter balance ya kisaikolojia nadhani!
Hon. Tulia Ackson next female President. Time will tell
Kinacho angaliwa ni katiba ya Nchi, Wacha wafer Tu 😂Tatizo wakiwa pale juu wanapewa sumu ili wafe, so Haina haja
Ulisema mtu hafai uje na sababu . Kusema tu hafai halafu huna sababu tunaita ni chuki binafsi.Hafai kabisa. Urais wa Tanzania hautabiriki.
Waziri anatengewa bajeti .Kwanza alitakiwa barabara ya Dar Chalinze imnyime usingizi hadi uamuzi wa kuanza kujengwa ifanyike na ikamilike.
Lakini sasa weee !
Chuki binafsi hizi..Innocent Bashungwa ni zezeta.
..hatuwezi kuwa na Rais kazubaa kama Innocent.
Simjui hanijui kwani ni kosa kumwelezea mtu? Na wewe unaweza kumwelezea unaemuona anafaa watanzania mbona tupo wengi tu.Amekutuma?