Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Tutakuwa wagonjwa wa akili tukiruhusu mbususu kurudi tena Ikulu! Mnataka wanaume mwendelee kumburuza? Siyo kwa kizazi hiki!Hon. Tulia Ackson next female President. Time will tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwa wagonjwa wa akili tukiruhusu mbususu kurudi tena Ikulu! Mnataka wanaume mwendelee kumburuza? Siyo kwa kizazi hiki!Hon. Tulia Ackson next female President. Time will tell
Tuhuma za Unyarwanda zimefutwa?Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.
1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu
Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana .
Zililetwa lini? Na nani?Tuhuma za Unyarwanda zimefutwa?
Basi chagueni mgogo kutoka Dodoma maana ndio mtanzania halisi nchi hii.mikoa ya pembezeni kote ni wahamiaji.Hii nchi haiwezi kutawaliwa tena na wahamiaji kama Magu
Hii nchi imeshakuwa ya Kipumbavu kwelikweli.Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.
1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu
Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana .
"Wabonaki Y2?" Is that it?Bashungwa is Good leader Ila kuna sababu moja tu intamkwamisha
“Nkoitanyi”
Britanicca
hii inasababishwa na mwigulu. pesa wanazizuia zingine wanafanyia ujinga kwaajili ya kuandaa uchaguzi wa kulinda majimbo yao. hivyo ukimulaum unamuonea tangu waziri wa fedha huyu aingie pesa hazijawawi kua na utulivu.madeni yanaongezeka na bado hela zinazokopwa hazijulikani zinakoenda.
Hahahaa hahahaaaaaaaaaKwa kifupi HAFAI.
Nashangaaa!Hivi kwanini watanzania mnapenda kuwabagua watanzania wengine wenye asili ya Rwanda-Urundi?
Naniiiii kasema ? Au ndo mmeanza kutusemea Wa TzMbona Wamesema 2030 ni Kafulila au kunamabadiliko?
Jambazi hilo.mwizi mkubwa
Eti shangaa bado hajaonyesha uwezo kabisa katika wizara yake zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari akifanya ziara maeneo mbalimbaliKuna watu mnamasihara na mambo serious ya nchi?!
Barabara ya Dar Chalinze tu hatujaona akihamasisha ijengwe kwenye binge la bajeti lililopita n.k.
watu wakishanusa kua utakuja kua na nguvu kwenye utawala ni lahisi kuweza kuhujumiwa na washika mikoba ya utoaji fedha. na hapa ndipo nathubutu kusema hajiamini. ila ni kiongozi mzuri asiekua na makuu.Lawama lazima ziende kwake maana wizara yake toka ameteuliwa makampuni ya wazawa yako hoi bin taabani kifedha kutokana na kutolipwa malimbikizo ya madeni yao na hakuna dalili watalipwa lini hawezi kukwepa hizo lawama. Kingine cha ajabu kazi zinaendelea kutangazwa wakati pesa za kazi zilizopita hawajalipwa bado yeye kama waziri amechukua hatua gani maana tukio kama hili limeanza kuwatisha wakandarasi kuacha kuomba kazi/zabuni serikali. Hii sio dalili nzuri hata kidogo makusanyo ya kodi yatapatikana vipi ikiwa hawalipwi ?
Suala sio kutokuwa na makuu nafikiri anapaswa kuwa imara zaidi huku akifanya kazi kwa karibu na CEO wa Tanroads haijawahi kutokea mfuko wa barabara kukosa fedha kuwalipa makandarasi hatua gani amechukua kuondoa hii changamoto maana kampuni nyingi ziko taabani kwa sasa. Anahujumiwa vipi mbona hatujamsikia akilisemea hili bungeni tunamuona tu kwenye ziarawatu wakishanusa kua utakuja kua na nguvu kwenye utawala ni lahisi kuweza kuhujumiwa na washika mikoba ya utoaji fedha. na hapa ndipo nathubutu kusema hajiamini. ila ni kiongozi mzuri asiekua na makuu.
Hafai kabisa. Urais wa Tanzania hautabiriki.Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.
1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu
Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana .
Amekuambia nani?Mbona Wamesema 2030 ni Kafulila au kunamabadiliko?