Pre GE2025 Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuhuma za Unyarwanda zimefutwa?
 
Hii nchi imeshakuwa ya Kipumbavu kwelikweli.

Mtu akishalewa tu Vumbi la Kongo anakuja kutapishia humu. Puumbavu
 
Lawama lazima ziende kwake maana wizara yake toka ameteuliwa makampuni ya wazawa yako hoi bin taabani kifedha kutokana na kutolipwa malimbikizo ya madeni yao na hakuna dalili watalipwa lini hawezi kukwepa hizo lawama. Kingine cha ajabu kazi zinaendelea kutangazwa wakati pesa za kazi zilizopita hawajalipwa bado yeye kama waziri amechukua hatua gani maana tukio kama hili limeanza kuwatisha wakandarasi kuacha kuomba kazi/zabuni serikali. Hii sio dalili nzuri hata kidogo makusanyo ya kodi yatapatikana vipi ikiwa hawalipwi ?​
 
Kuna watu mnamasihara na mambo serious ya nchi?!

Barabara ya Dar - Chalinze tu hatujaona akihamasisha ijengwe kwenye bunge la bajeti lililopita n.k sembuse urais ?
Uaminifu unaanzia kwenye mambo madogo madogo kwanza kisha makubwa.
 
watu wakishanusa kua utakuja kua na nguvu kwenye utawala ni lahisi kuweza kuhujumiwa na washika mikoba ya utoaji fedha. na hapa ndipo nathubutu kusema hajiamini. ila ni kiongozi mzuri asiekua na makuu.
 
watu wakishanusa kua utakuja kua na nguvu kwenye utawala ni lahisi kuweza kuhujumiwa na washika mikoba ya utoaji fedha. na hapa ndipo nathubutu kusema hajiamini. ila ni kiongozi mzuri asiekua na makuu.
Suala sio kutokuwa na makuu nafikiri anapaswa kuwa imara zaidi huku akifanya kazi kwa karibu na CEO wa Tanroads haijawahi kutokea mfuko wa barabara kukosa fedha kuwalipa makandarasi hatua gani amechukua kuondoa hii changamoto maana kampuni nyingi ziko taabani kwa sasa. Anahujumiwa vipi mbona hatujamsikia akilisemea hili bungeni tunamuona tu kwenye ziara
 
Kuna mawili kwamba waziri hawajibiki ipasavyo au CEO wa Tanroads hayuko makini kwenye kutekeleza majukumu yake hao wawili lazima kuna uzembe wa hali ya juu mfuko wa barabara unakosa vipi pesa na hii hali itaendelea mpaka lini maana kazi zishatangazwa na makampuni yameshapata sasa kama pesa hakuna za kuwalipa itakuwaje kazi zitaendaje? Pia upande wa Tarura nako kuko hoi hadithi ile ile nafikiri hazina kuna matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri
 
Hafai kabisa. Urais wa Tanzania hautabiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…