Pre GE2025 Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Josephat Gwajima,huyu Mwamba ana kitu kichwani.
Mazonge yake muachieni mwenyewe!
 
Amekutuma?
 

..Innocent Bashungwa ni zezeta.

..hatuwezi kuwa na Rais kazubaa kama Innocent.
 
Nabii Titto anazo sifa zote za kuwa mrithi wa Samia. Maana imekuwa usengerema fulani hivi wa hizi mada za Urais,mtu mavi yakigonga chupi tu anakuja kunya humu.
 
Mvua zimenyesha kubwa sana kuanzia ile elnino (vuli) ikafuatiwa na masika, barabara zimeharibika mno sababu nyingine huwa sub standard, matharani barabara za vumbi za outskirts za Jiji la Dar mfano Mbopo Kata ya Mabwepande hali ni mbaya ,
Makaravati yalienda na Maji ya mvua kubwa, barabara hazina lami, zimechimbika hazipitiki.

Yani hata kuchongwa tu imeshindikana??? 🤔🤔
Kiasi Kwamba hali itazidi kuwa mbaya maana mwezi wa 9 au wa 10 mwezi mmoja toka sasa mvua za msimu wa mvua za vuli zitanyesha tena, je hali itakuwaje ?
Ikiwa kwa Sasa hazipitiki sembuse zikitwe na msimu mwingine wa mvua bila ukarabati na kushindiliwa ?
 
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Halmashauri ya Jini la Dar es salaam barabara za vumbi mabwepande inashindikana kuzichonga ?
Au kuweka lami ?

Makusanyo mnayokusanya yanafanyia kazi zipi ?
 
Kwanza alitakiwa barabara ya Dar Chalinze imnyime usingizi hadi uamuzi wa kuanza kujengwa ifanyike na ikamilike.
Lakini sasa weee !
 
Hon. Tulia Ackson next female President. Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…