Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali.
Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa kimepatikana kwao, we unaleta usiasa tena, eti hawausiki, hivi wewe nani wakukubali dili la kudanganya kichwa kimekutwa kwako, ili kuwakinga watu furani?
Jamii uliioiacha mtaani inakufikiri vipi? Tutaanza kiharibu na kupoteza Imani Kwa utaratibu huu, polisi wameshika kila kitu na ushahidi wanao, wewe unapinga eti mchezo, kudakwa hao ilikua simple mana tayari Kuna mtu alipiga simu nyumbani akimiulizia temba badae alikata simu na haikupatikana tena, huyo ndo alikua ana anziwa na kitaja wenzake, ndo mana inshu imeenda fasta hapo ni kushiika simu yake tu na kufatilia maongezi yote, over.
Mtu una Pinga kila kitu unaleta siasa, acheni hizo.