carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23] [emoji23] akisoma hii comment lazima alie...ila akubali mziki umemshinda alee wajukuu tu sasaBab we kawe mganga wa kienyeji tu...umri umeenda na mawazo yako mgando, au ndo unataka ukuu wa wilaya???
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
Nime m diss naniHarafu hizo dis zako huwa hazibambi
insepkta anae tumia fimbo [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ametoa wapi pesa ya kurekodia nyimbo,
Inspector ambaye hakupita depo ...loh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwani bado huwa anapata show? au za graduation?Jamaa ana mambo ya kichoko huyu...ndo maana amebaki kufanya show za mkuranga
Macho kama KovaYanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
kwani bado huwa anapata show? au za graduation?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi mwenyewe nashangaa tulimpa msingi wa kuuza chips Mbagala kiburugwa huku karibu na kwa kina Juma Nature hata pesa sijui ya kurekodi kaitoa wapi