Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sina mchepuko wa Ids!Oooh nimekupata make mdukuzi ni id ya mtu hapa.....poa
Mfollow scoop_tz huyo karahisisha kazi ndio anawafatilia wote wawili,teh anakwambia let me scoop for you God will pay me ,raha ya Insta ni MB zako tu..Hivi ujue haya mambo siyajui?Sipendi taarab basi hadi hawa watu huwa siwafuatilii.
Hebu nitajie a/c zao nianze kuwafuatilia mamito.
Aonewe wapiiiii.....ha ha ha baada yakubwagana na Majizo inasemekana kaenda kumzoa someone Dullah (kama sikosei) aliyekuwa bwana wa Masogange south,bwana wa Tunda,Husna Maulid na wengine wengi.Eeeh basi mchezo umeisha nilidhani anaonewa
Mke wa mtu huyo,ama kweli mmewe kakaliwa,munaa na tako lake la kichina...Ha ha ha ha ha nliona anachambwa kuwa ana kiatu kimoja, yani huyu ni ana apply kaa na uaridi unukie, anatafuta umaarufu kupitia lulu
Tako la kichina, ana matege, andunje na hilo liwigi kichwani anajikuta Nicky minajMke wa mtu huyo,ama kweli mmewe kakaliwa,munaa na tako lake la kichina...
Hahahaa ngoja kwanza,husna na tunda kisa cha ugomvi ni waliibiana huyo chief au maana urafiki uliishia kwa vichambo insta... Huyu kaka kuna jina jingine anatumia sio dulla sikumbuki ni lipi....Aonewe wapiiiii.....ha ha ha baada yakubwagana na Majizo inasemekana kaenda kumzoa someone Dullah (kama sikosei) aliyekuwa bwana wa Masogange south,bwana wa Tunda,Husna Maulid na wengine wengi.
Mmmh huyo said nini? Najua huyo ndio bwana wa kikosi ila atleast hana uswahili kiivo kama hao kina munaAonewe wapiiiii.....ha ha ha baada yakubwagana na Majizo inasemekana kaenda kumzoa someone Dullah (kama sikosei) aliyekuwa bwana wa Masogange south,bwana wa Tunda,Husna Maulid na wengine wengi.
Muna ndo huyo mke wa Kalala JuniorMke wa mtu huyo,ama kweli mmewe kakaliwa,munaa na tako lake la kichina...
Huyo husna siku bwana yao yeye na lulu kafa akaanza kuandika vitu vya majonzi mara yallabi nitie nguvuHahahaa ngoja kwanza,husna na tunda kisa cha ugomvi ni waliibiana huyo chief au maana urafiki uliishia kwa vichambo insta... Huyu kaka kuna jina jingine anatumia sio dulla sikumbuki ni lipi....
Sio mke ni hawara, mme wake yupo na ndio baba wa mtoto kalala ni mchepukoMuna ndo huyo mke wa Kalala Junior
Sijui kama ni sababu but itakuwa imechangia sana kuvunja urafiki wao....coz huyo jamaa ana mawe kama unavyojua wabongo south Africa sijui wanapataga wapi pesa (ha ha ha)ndo Husna alimchukulia Funds(vice versa) sasa hivi nae Mabeto kamnyakua.Mnyakuzi at workHahahaa ngoja kwanza,husna na tunda kisa cha ugomvi ni waliibiana huyo chief au maana urafiki uliishia kwa vichambo insta... Huyu kaka kuna jina jingine anatumia sio dulla sikumbuki ni lipi....
Kuchepuka hakuna msamaha,iko hivi...."Every man cheats,but if he loves you enough you'll never find out".
Sasa nikigundua niendelee nae wa nini?
Amekuwa maji?
Hahahahahaaa
May be anaitwa Saidi coz jina lake silikumbuki....ana kigari flan cha bluu.Kila anayepigwa mti nae lazima apige nacho picha hyo gari.Jamani eeeeh niliacha umbea sijui imekuwaje ha ha ha 😉Mmmh huyo said nini? Najua huyo ndio bwana wa kikosi ila atleast hana uswahili kiivo kama hao kina muna
Unamsemea yule Seki wa mgodini.....alikuwa bwana wa Husna,Lulu akaona mwenzio hajui kumtumia ndo akambeba.Hii ni balaaaHuyo husna siku bwana yao yeye na lulu kafa akaanza kuandika vitu vya majonzi mara yallabi nitie nguvu
Kama kihawara tu kinaomba mungu akitie nguvu mke asemeje, baada ya wiki tu kakaonesha pete mara kanajiita mrs chief
Mwezi haujaisha sio kamrs tena
Yap seki ha ha ha afu lulu aliulizwa kwanini kachukua bwana wa shoga ake akajibu bwana kanitaka mwenyeweUnamsemea yule Seki wa mgodini.....alikuwa bwana wa Husna,Lulu akaona mwenzio hajui kumtumia ndo akambeba.Hii ni balaaa
Eeh ndio yeye...mme kawekwa ndondocha hasemi hafurukuti..Muna ndo huyo mke wa Kalala Junior