Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Hivi ujue haya mambo siyajui?Sipendi taarab basi hadi hawa watu huwa siwafuatilii.
Hebu nitajie a/c zao nianze kuwafuatilia mamito.
Mfollow scoop_tz huyo karahisisha kazi ndio anawafatilia wote wawili,teh anakwambia let me scoop for you God will pay me ,raha ya Insta ni MB zako tu..
 
Eeeh basi mchezo umeisha nilidhani anaonewa
Aonewe wapiiiii.....ha ha ha baada yakubwagana na Majizo inasemekana kaenda kumzoa someone Dullah (kama sikosei) aliyekuwa bwana wa Masogange south,bwana wa Tunda,Husna Maulid na wengine wengi.
 
Mfollow scoop_tz huyo karahisisha kazi ndio anawafatilia wote wawili,teh anakwambia let me scoop for you God will pay me ,raha ya Insta ni MB zako tu..
Hahahahaaa ngoja niende sasa hivi dear,asante.
 
Ha ha ha ha ha nliona anachambwa kuwa ana kiatu kimoja, yani huyu ni ana apply kaa na uaridi unukie, anatafuta umaarufu kupitia lulu
Mke wa mtu huyo,ama kweli mmewe kakaliwa,munaa na tako lake la kichina...
 
Aonewe wapiiiii.....ha ha ha baada yakubwagana na Majizo inasemekana kaenda kumzoa someone Dullah (kama sikosei) aliyekuwa bwana wa Masogange south,bwana wa Tunda,Husna Maulid na wengine wengi.
Hahahaa ngoja kwanza,husna na tunda kisa cha ugomvi ni waliibiana huyo chief au maana urafiki uliishia kwa vichambo insta... Huyu kaka kuna jina jingine anatumia sio dulla sikumbuki ni lipi....
 
Mmmh huyo said nini? Najua huyo ndio bwana wa kikosi ila atleast hana uswahili kiivo kama hao kina muna
 
Huyo husna siku bwana yao yeye na lulu kafa akaanza kuandika vitu vya majonzi mara yallabi nitie nguvu
Kama kihawara tu kinaomba mungu akitie nguvu mke asemeje, baada ya wiki tu kakaonesha pete mara kanajiita mrs chief
Mwezi haujaisha sio kamrs tena
 
Sijui kama ni sababu but itakuwa imechangia sana kuvunja urafiki wao....coz huyo jamaa ana mawe kama unavyojua wabongo south Africa sijui wanapataga wapi pesa (ha ha ha)ndo Husna alimchukulia Funds(vice versa) sasa hivi nae Mabeto kamnyakua.Mnyakuzi at work
 
Kuchepuka hakuna msamaha,iko hivi...."Every man cheats,but if he loves you enough you'll never find out".
Sasa nikigundua niendelee nae wa nini?
Amekuwa maji?
Hahahahahaaa

Kuchepuka sunnah mama ujue mko wengi kuliko sisi sasa tunawasaidia kama wajane na wasiokua na watu kama vile lulu
 
Mmmh huyo said nini? Najua huyo ndio bwana wa kikosi ila atleast hana uswahili kiivo kama hao kina muna
May be anaitwa Saidi coz jina lake silikumbuki....ana kigari flan cha bluu.Kila anayepigwa mti nae lazima apige nacho picha hyo gari.Jamani eeeeh niliacha umbea sijui imekuwaje ha ha ha 😉
 
Huyo husna siku bwana yao yeye na lulu kafa akaanza kuandika vitu vya majonzi mara yallabi nitie nguvu
Kama kihawara tu kinaomba mungu akitie nguvu mke asemeje, baada ya wiki tu kakaonesha pete mara kanajiita mrs chief
Mwezi haujaisha sio kamrs tena
Unamsemea yule Seki wa mgodini.....alikuwa bwana wa Husna,Lulu akaona mwenzio hajui kumtumia ndo akambeba.Hii ni balaaa
 
Yap seki ha ha ha afu lulu aliulizwa kwanini kachukua bwana wa shoga ake akajibu bwana kanitaka mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom