Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Gigy mwenyewe mchafumchafu sa gauni gani lile alilovaa jamani? Afu anasema game na mtoto mzuri waiiii tunadhalilika sisi jamani hiki kizazi cha kuanzia 95 sijui ni athari za cerelak maana ni tabu hapa mjini khaaa
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!
Ni shida juu ya shida.... Staha hamna skuiz mungu atusaidie kwa kweli
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!
Hahahahahahahaha, km vp tuzae kyle xy
 
Msisahau Huawei ni almaarufu wa kuwakana wanawake wa Kibongo aliowatafuna.
Alimkana Masogange kwa Diva, akamkana Diva kwa Masogange
Safari hii kamkana Giggy atakuja amruke na mjane wetu.
Ila kwa kweli giggy machupi ametia fora, kwani ukilal.wa lazima kila mtu ajue??
 
Makuuubwa shoga,Tekno huyuhuyu au Davido?
Kumbe hadi Diva na Masogange keshawatafuna?
 
jirani naona unaleta mambo moto moto....hahah
Hahahahaaa yanachekesha na kusikitisha.
Ngoja tusubiri vijembe kutoka kwa jirani zetu wakenya.
Bila shaka tutapewa jina la 'WAPOKEA WAGENI'.
 
Sa mbona masogange na diva watakua wamembemenda tekno jamani midada mikurubembe hii loh!! Watasababisha vijana wa watu wakija wafikie ikulu kwa JPM mana uraiani ulinzi zero
Hahahahaaa nyie mjini hapa ukifikiria sana utachoka tu.
Huyo Masogange na Diva ni mti gani ambao hawajachapwa nao?
Ujue kuna watu kwao ni kawaida kuchapwa na miti mipya kila siku?
Kazi kwelikweli.
 
Tekno alikua na masogange, alishakua na yule husna pia mke mwenzie lulu
Yalaaaaa,kumbe kijana katafuna namna hii?
Kweli wabongo tupo juu sana kwa sasa.
Ma Icon wa taifa wekuwa wengi sana,kila pembe ya Afrika na dunia kiujumla tunajulikana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…