Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Zaidi ya aibu!
Imefikia mahali watu maarufu wakija tz wanawaza papuchi za bure kuliko wanavyofuata.
Ref. Mboni Masimba na Etoo + Fally Ipupa.
Heee....hii sentensi ya mwisho...ina ukweli???? Maajabu sana kama kweli
 
huyo gigy huko alipo sijui atajisikiaje,kuitwa malaya mmh,ila swali je nani aliyemfundisha tekno kiswahili? hata kama huyo tekno inabid tumnyooshe adabu haiwezekani hatudhalilishie dada yetu hata kama ni malaya , mbwa huyo kumanina zake si anajifanya anashoboka kwa lulu, ngoja amuue ndo ashike adabu

Kaojiwa na Soud brown gossip cop leo mchana clouds kasema
1. Wa nigeria wanafagilia mkungu wa ndizi

2. Haijalishi kwani wameacha print?

As in wameacha sahihi yao hapo??

Wow amazing!
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo wa kwangu mbn hawako kama hao malaya wa kujiuza mtaani. Kuiga maisha ya kidhungu yanawaumiza. Jifunze kulea siyo kulea kwa mitindo ya kuiga.
 
Haya nayo majipu haya tena sio size ya mh JPM hata mh Nape sio size yake hao ni kifimbocheza tu.
Chafua taifa wakati hata mwezi bado tangu tufanye usafi

Jembe wajua tulifanya usafi wa taifa kisha tukakosa cha kuzolea ma uchafu....

Ama sijui JPM angesema atangaze kuzoa tena labda??

Sasa labda zile uchafu vimelea vikasambaa tena!

Ndo result sasa!
 
from @who_iz_the_boss - Maaaan! Somebody has to say something about this sijui niseme promoters au ni mashabiki. As in what do u get by announcing to the world that a nigga banged you! Like wtf we unajiskiaje? This issue has been trending ever since af sioni why Tanzanians made a deal out of it! Unajua tuna aibika sana? Wakija kupima illiteracy rate ya africa top 3 tutaingizwa bila kupenda! No offense but this is not the first time we are messing it up on nigerians' faces! Tunaona sifa eti and bad enough wanawake wanaotangulia sasa kukutana na hao wageni uwiiii its a shame as a country! Mbona sisi hatunaga this image? Why the few watufanye chambo la kuonekana wajinga all over africa? Okay back to my girls sawa umelala na msanii ukatoka hapo yo flaunting all over social medias tye nigga banged you what the https://jamii.app/JFUserGuide anakuaibisha n u still act retard unakubali yes nililala nae sijui so what hivi ni sifa? The shame is all over africa and so bad to a career! Am not judging anyone here but mapromotaaa mtusaidie! In one way nyie huwa mnawa connect hawa wadada na wasanii kama mnakumbuka the same man aliwahi kumkana mdada wa kibongo nkajua ehm the girl ataishi in relief uwii dem nae akawaka eti yes nililala nae bt ananikana tu? Jaman hivi mnataka mdhalilishwe kila siku jamaa alikufirimba sasa kakufichia aibu we unaitaka hiyo fedheha! One night stands are never serious wtf mnategemeaga ndoa?? All in all madem badilikeni!!!!! Know ur standard basi hata angekuwa chris brown mama ako anajiskiaje jamaa kakugonga na kukukana! Hata wajukuu zako watasimuliwa! Hata sijui kwann naandika haya maana I don give fucks abt hizi mambo za kuparamiaga wanaume na kutafuta umaarufu kwa nguvu za papuchi mbona tunawashobokea saaana bora hata mtu angekuwa vasi ana ule uzuuuuuri wa kupapatikiwa khaa!! but TANZANIA WE NEED TO STOP CREATING THIS TYPA IMAGE KUNA WATU WATAANZA KUJIITA WAMSUMBIJI WAKIENDA NCHI ZA WATU MAANA UKIJIITA MTZ WANAKUONA WALE WALE WA MAHARAGE YA MBEYA KIJIKO KIMOJA CHA MAJI YAMEIVA KHA!q& #regrann
 
Linapokuja swala la kuwakirimu wageni,mabinti wa kitanzania wako vizuri sana..

I bet

Social media zimeondoa barrier wana hustle for years wanasaka wageni...

Imagine mtu anakomaa huko hadi anasahau maisha halisi..

Imagination tu na kusubiri miujiza na kupenda kuletewa....

Tachapwa saaana hawa watu atheeee

God forbid I will take great care of my daughter. ...

I bet
 
Huyo atakuwa Lulu kamtumia hivyo vichambo,haiwezekani Tekno aandike Kiswahili kilichonyooka kuliko mie Mtanzania.
ukute kitekno aliyee kiandikia kakitanganya kuwa ni kutoa shukrani kwa shagwe la kutosha siku ya shoo na huyo n mmoja wa fans wake mkubwaa anyway hayo ni ya wadada wa mujini haya yetu macho ya MUNGU ni mengi yakuku ni mayai naya magufuli ni majipu
 
Heee....hii sentensi ya mwisho...ina ukweli???? Maajabu sana kama kweli
Ohoooo,uko wapi mkuu?
Ichukue kama ilivyo uimeze bila kufikiria mara 2.
Tena kwa taarifa yako yeye ndio muanzilishi wa hiki tunachojadili hapa.
 
Tuzae watoto wa kiume wawe mashoga,tuzae vya kike viwe type ya gigy na wachafu wengine..dah😕😕sijui tutafute watoto wa jinsia gani!!

Mkuu malezi...

Be humble wafundishe wawe humble basi!
 
ukute kitekno aliyee kiandikia kakitanganya kuwa ni kutoa shukrani kwa shagwe la kutosha siku ya shoo na huyo n mmoja wa fans wake mkubwaa anyway hayo ni ya wadada wa mujini haya yetu macho ya MUNGU ni mengi yakuku ni mayai naya magufuli ni majipu
Hahahahahaaaaa
 
Hivi kuna watu mnategemea Lulu,Wema,Kajala,Masogange and the likes wa behave kinyume na sasa?? Hio ndio Lulu being Lulu...Wema being Wema....Kajala being Kajala ...Masogange being Masogange
 
Naona akaunti yake Instagram imeondolewa. Pole zake.

Lakini pia mi nadhani hili ni suala la elimu. Elimu yetu ni hovyo mno na haimpi kijana wa Kitanzania uwezo wa kukaramka na kujitambua thamani na utu wake kitaifa na kimataifa. Haiwezekani binti kabisa anayejielewa thamani yake mbele ya jamii na familia yake ajitokeze hadharani akijitangaza kuwa amelalwa. Kwani hawa dada zetu wana tofauti gani na wenzao kutoka Kenya na Uganda? Mbona hao hatuwasikii wakifanya huu ujinga? Au sisi Watanzania dada zetu ndiyo wana pepo la ngono na wasanii hawa uchwara kutoka nje? Imagine Bhoke akaenda BBA akadinywa laivu na lile jamaa sura mbaya kutoka Uganda. Kuja kushtuka co - workers zangu Waganda wananiita shemeji. Kuuliza kulikoni mijamaa inacheka eti tumemgonga dadako Mtanzania laivu BBA. Kuangalia clip maweeee! This is too much jamani hata kama ni ma celebrity. Aaaaargh!!!
 
from @who_iz_the_boss - Maaaan! Somebody has to say something about this sijui niseme promoters au ni mashabiki. As in what do u get by announcing to the world that a nigga banged you! Like wtf we unajiskiaje? This issue has been trending ever since af sioni why Tanzanians made a deal out of it! Unajua tuna aibika sana? Wakija kupima illiteracy rate ya africa top 3 tutaingizwa bila kupenda! No offense but this is not the first time we are messing it up on nigerians' faces! Tunaona sifa eti and bad enough wanawake wanaotangulia sasa kukutana na hao wageni uwiiii its a shame as a country! Mbona sisi hatunaga this image? Why the few watufanye chambo la kuonekana wajinga all over africa? Okay back to my girls sawa umelala na msanii ukatoka hapo yo flaunting all over social medias tye nigga banged you what the https://jamii.app/JFUserGuide anakuaibisha n u still act retard unakubali yes nililala nae sijui so what hivi ni sifa? The shame is all over africa and so bad to a career! Am not judging anyone here but mapromotaaa mtusaidie! In one way nyie huwa mnawa connect hawa wadada na wasanii kama mnakumbuka the same man aliwahi kumkana mdada wa kibongo nkajua ehm the girl ataishi in relief uwii dem nae akawaka eti yes nililala nae bt ananikana tu? Jaman hivi mnataka mdhalilishwe kila siku jamaa alikufirimba sasa kakufichia aibu we unaitaka hiyo fedheha! One night stands are never serious wtf mnategemeaga ndoa?? All in all madem badilikeni!!!!! Know ur standard basi hata angekuwa chris brown mama ako anajiskiaje jamaa kakugonga na kukukana! Hata wajukuu zako watasimuliwa! Hata sijui kwann naandika haya maana I don give fucks abt hizi mambo za kuparamiaga wanaume na kutafuta umaarufu kwa nguvu za papuchi mbona tunawashobokea saaana bora hata mtu angekuwa vasi ana ule uzuuuuuri wa kupapatikiwa khaa!! but TANZANIA WE NEED TO STOP CREATING THIS TYPA IMAGE KUNA WATU WATAANZA KUJIITA WAMSUMBIJI WAKIENDA NCHI ZA WATU MAANA UKIJIITA MTZ WANAKUONA WALE WALE WA MAHARAGE YA MBEYA KIJIKO KIMOJA CHA MAJI YAMEIVA KHA!q& #regrann
Hili shairi lako hata halieleweki!!
 
Mlifikiri "show business" ni nini zaidi ya watu kujiuza miili na au utu wao?

Nnawashangaa nyinyi mnaowashangaa hao waliopo kwenye biashara hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom