nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Hizo ni chache hata tano hazifiki, chance ya kufika huko imepatikana kwa connection za hali ya juuKazi mbovu watu hawanunui mbona kuna movie za kibongo zipo Netflix?
Huko kuiga ni sehemu ya kuhaha tu, ukweli ni kuwa bongo movie haina platform ya kuuzia kazi, huo ndio ukweli hakuna platform, toa hela yako tengeneza filamu ya kibongo, hutaona pesa ikirejea hasa pesa ya maana,Ubunifu hakuna kabisa huo ndio ukweli.
Nilisoma kitabu cha Mama yangu anakula nyama za watu, sijabahatika kuona movie yakeKuna mzigo unaitwa Chiite Chitokae, pamoja mama yangu anakula nyama za watu, ilikuwa fujo mdogo wangu kumwambia akalale peke yake
Hii filamu ya Safari naisaka kila Kona mpaka Youtube lkn siipati. ilikuwa nzuri sana.Baada ya hii kufanya hivyo ndio muvi zikaanza kurusha ads kwenye tv kama utitiri, zikiwemi muvi kama safari, kaburi la safia, Johari njia panda etc etc
Chiku na KapiliHii filamu ya Safari naisaka kila Kona mpaka Youtube lkn siipati. ilikuwa nzuri sana.
Hivi yule July Tax aka domo alipoteleaga wapi?Girlfriend na Saladini sio za Musa Banzi,Saladini nadhan ni ya July Tax wa Mwanza,Girlfriend ni ya George Tyson ila imetayarishwa na Sultan Tamba.
Baada ya watu kuzoea kuona muvi kwa flashi, soko la uhakika la muvi limekuwa gumu kuingia na kupata faida,
Hii imefanya watu wenye fedha kuacha kuinvest kutengeneza muvi, hii inafanya wasanii wazuri, madirector wazuri na hata maproducer kuacha kufanya kazi kwasababu ya ukali wa maisha na kufanya ishu ingine hii ikafanya bongo movie kuwa low quality kuliko za enzi zile za kanumba kipindi watu wako tayari kununua m8kanda na deki walikuwa nazo
Sasa siku hizi kuna platform kama showmax na netflix, shida ya hizi hazifikiki kirahisi na maproducer wa kawaida wa kibongo wasio na pesa ni kama platform za kimagharibi mno na hazilengi maproducer wa Kiafrika na soko letu kwa ujumla, huku platform zetu kama swahiliflix zina changamoto kibao
Tuone nini?Ngoja tuone...
Sio surutani kaka, ni SULTAN [emoji1787]Hakika ndugu yangu kazi ya surutani tamba sjui Yuko wapi huyu mwamba
Chite Ukaee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mzigo unaitwa Chiite Chitokae, pamoja mama yangu anakula nyama za watu, ilikuwa fujo mdogo wangu kumwambia akalale peke yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna ujinga hapa kati ulijitokeza ukafanya kuwapa nafasi wenye makalio makubwa ndio kigezo cha kuwa na kipaji