Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

Angela ,pia tumia jukwaa hili kutuonesha namna mama mkwe wetu alivyokulea Toka utoto na mimba yako
hapa ni mambo ya siasa tu gentleman na si vinginevyo, kua makini na zaidi sana kua mustaarabu itakusaiadia sana πŸ’
 
hapa ni mambo ya siasa tu gentleman na si vinginevyo, kua makini na zaidi sana kua mustaarabu itakusaiadia sana πŸ’
hata wewe onyesha ustaarabu kutwa Zima kuleta ukenge dhidi ya Simba Lete stori zingine
 
Mkuu mbona unapenda sana kufuatilia mambo ya CHADEMA na kuacha mmbo yako ya CCM?
 
Why Lissu wa CHADEMA kutaka uenyekiti iwe nongwa na gumzo hivi?. CUF nao wana mchakato wa kumpata mwenyekiti wao. Kina Rwakatare wanagombea sambamba na Lipumba mkongwe aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa muda mrefu, lakini huko hamuandiki upupu kumsiginia kunguni anayechuana na mkongwe huyo ila kwa Lissu ni gumzo kubwa
 
Mkuu mbona unapenda sana kufuatilia mambo ya CHADEMA na kuacha mmbo yako ya CCM?
kwasasababu mimi ni mtafiti mwandamizi na mtaalamu mbobevu katika masuala ya siasa za vyama, hasa nyakati muafaka za uchaguzi, kuweza kutafiti mambo mbalimbali kwa faida ya wadau wa siasa na jamii kwa ujumla.

Gentleman,
Je,
kuna ubaya wowote kwenye hilo gentleman, na hasa ukizingatia uhuru na haki za kiDemokrasia kikatiba chini?

au gubu?πŸ’
 
Kumbe upo hapo kwaajili ya kupendezesha pambano sio


Yanga akifungwa Champions league na TP Mazembe, Simba anafurahia

Simba akipata Sare na KenGold Yanga anafurahia πŸ˜…

Utani na uendelee
 
Basi endelea na ubashiri wako mkuu. Sheikh Yahya wewe ndiye aliyekuachia mikoba yake ya ubashiri.
 
Lwakatare amesema hivi,
ikiwa Lipumba atajitokeza kugombea tena nafasi hiyo, yeye atajiengua kwasababu wametoka mbali na ni yeye Lwakatare ndio aliemshawishi Lipumba kugombea uenyekiti Taifa,

Kupambana nae itakua ni kukosa adabu na kumvunjia heshima mtu ambae wanaheshimiana na kupendana sana.

Mpaka sasa Lipumba hajasema chochote ikiwa atagombea ama laa, licha ya kwamba tayari wanachama wameshamchukulia fomu.

Tamaa na uchu wa madaraka aloonyesha Lisu tena bila kupiga mahesabu, imeibua tension kubwa sana kwa wabobevu kushuhudia anguko lake kisiasa huku tukitoa shule na darasa kwa wadau wa JF πŸ’
 
 
Kumbe upo hapo kwaajili ya kupendezesha pambano sio


Yanga akifungwa Champions league na TP Mazembe, Simba anafurahia

Simba akipata Sare na KenGold Yanga anafurahia πŸ˜…

Utani na uendelee
kwahiyo gentleman,
unataka kusema nani yanga na nani Simba pale chadema?

Labda tuanzie hapo kabla ya kuendelea kueleza mafanikio ya inteligensia ya chadema kumuhadaa Lisu na hatimae kumuacha mikono mitupu baada ya uchaguzi πŸ’
 
 
Basi endelea na ubashiri wako mkuu. Sheikh Yahya wewe ndiye aliyekuachia mikoba yake ya ubashiri.
mimi si mtabiri gentleman,
bali ni mwanasiasa mwandamizi, mchambuzi makini ninae elezea mambo magumu ya kisiasa kwa lugha nyepesi na rahisi kwa wadau kuelewa na kuongeza ufahamu na uelewa wao juu ya masuala haya for free πŸ’
 
kwa hiyo lissu ajitoe kugombea
check vizuri kwa utulivu,
kuna uzi maalumu na mahususi kuhusu hilo gentleman humu jukwaani ,

singependa kurudia tena hapa πŸ’
 
Hiyo sio intelligence ila ni mipango ovu ya genge la mbowe na chawa wake
 
Hiyo sio intelligence ila ni mipango ovu ya genge la mbowe na chawa wake
Gentleman,
Unamaanisha mipango yenye nia na dhamira njema ya Lisu na maaskofu wake, imefeli terribly dhidi ya ile mipango hiyo ya Mbowe?

kama ni hivyo,
Lisu anaweza nini sasa zaidi ya kushindwa mipango mikakati lakini pia kushindwa vibaya sana uchaguzi?πŸ’
 
Watu wa CCM mtaandika kila hadithi. Huu ni Uzi wako wa 900 sasa Tundu Lissu/ MBOWE saga
umekosea gentleman,
huu huenda ukawa wa 2024 kama sio 2035. Na bado kibindoni zipo zinakuja nyuzi kama mvua.

umechoka sana ee gentleman?
kaza fuvu na kiuno hicho acha uvivu, haijaisha mpaka iishe.

unadhani mambo haya ni mchezo mchezo ee πŸ’
 
Kwani uchaguzi ushafanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…