Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata wewe onyesha ustaarabu kutwa Zima kuleta ukenge dhidi ya Simba Lete stori zinginehapa ni mambo ya siasa tu gentleman na si vinginevyo, kua makini na zaidi sana kua mustaarabu itakusaiadia sana 🐒
Mkuu mbona unapenda sana kufuatilia mambo ya CHADEMA na kuacha mmbo yako ya CCM?Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa Chadema Taifa na sio makamu mwenyekiti tena, kumbe ni hadaa za kisayansi tu, dhidi ya wenye tamaa na uchu wa madaraka kama wa lisu. Maskini dah. Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.
Lengo ni kumuondoa bila utata kwenye nafasi za uongozi Chadema, lakini pia kuondoa ugumu wa kumpata mgombea urasi wa Chadema 2025. Kumuondoa Lisu kwenye uongozi wa Chadema, kumerahisisha sana kumpata mgombea urasi asie Lisu bila chama kutikisika.
Miongoni mwa makachero hao, ni pamoja na hao wanaompigia simu, wanamuhadaa na kumtisha, nae bila kujua kua anarubuniwa. Anaogoma hata kuwataja, kwakua eti watu hao ni wa heshima sana nchi hii, ndio maana wanamtonya na kumshauri eti ajiongezee ulinzi, kwani kuna mipango ovu dhidi yake inapangwa, halafu ikitekelezwa atasingiziwa Mbowe.
Hizo ni hadaa anazofanyiwa na intelijensia ya Chadema bila yeye kujua. Itafika mahali atatishwa na kuikimbia nchi, kumbe ni kwasabb ya kushindwa uchaguzi.
Hata hivyo,
hivyo ndivyo intelijensia katika sayansi ya siasa hufanyika. Unamchochea muhusika aamini jambo lisilokuwepo, ili ajae kwenye 18 na mambo yake yaishe softly akishangaa na kung'aa macho tu.
Intelijensia ya kumshawishi Lisu ajiengue kugombea umakamu mwenyekiti Taifa, imetumika pia na kumuhadaa agombee uenyekiti wa Chadema Taifa, hali ya kua hana uwezo. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa intelijensia team ya Chadema, na ni utapeli wa kisayansi sana amefanyiwa Lisu na kumtoa kabisa kwenye reli na medani ya siasa za kitaifa tuendako.
Sote ni mashahidi,
kwamba, kumrubuni mtu mwenye tamaa na uchu wa madarka ni kitu rahisi sana.
Ameruka majivu amekanyaga moto, na mkataa pema pabaya pana muita wahenga walisema hayo.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwasasababu mimi ni mtafiti mwandamizi na mtaalamu mbobevu katika masuala ya siasa za vyama, hasa nyakati muafaka za uchaguzi, kuweza kutafiti mambo mbalimbali kwa faida ya wadau wa siasa na jamii kwa ujumla.Mkuu mbona unapenda sana kufuatilia mambo ya CHADEMA na kuacha mmbo yako ya CCM?
Kumbe upo hapo kwaajili ya kupendezesha pambano sioGentleman,
Lisu and chadema fraternity are my friends, relatives, family members, brothers and sisters, as well as my fellow citizens of this very beautiful republic of Tanzania..
we are completely not enemies. and that one will never happened.
maelezo yangu ni muafaka katika kipindi hiki cha uchaguzi wa ndani wa chadema Taifa.
kueleza mafanikio ya kazi na majukumu ya makachero makini wa Chadema kumuhadaa muungwana kuutema umakamu uenyekiti na kudandia uenyekiti wa Chadema Taifa usiwezekana kuna makosa kweli gentleman, na mimi nimeeleza haya kisiasa kwa faida ya wadau wa JF?
makosa yangu ni gani hapo?🐒
Basi endelea na ubashiri wako mkuu. Sheikh Yahya wewe ndiye aliyekuachia mikoba yake ya ubashiri.kwasasababu mimi ni mtafiti mwandamizi na mtaalamu mbobevu katika masuala ya siasa za vyama, hasa nyakati muafaka za uchaguzi, kuweza kutafiti mambo mbalimbali kwa faida ya wadau wa siasa na jamii kwa ujumla.
Gentleman,
Je,
kuna ubaya wowote kwenye hilo gentleman, na hasa ukizingatia uhuru na haki za kiDemokrasia kikatiba chini?
au gubu?🐒
Lwakatare amesema hivi,Why Lissu wa CHADEMA kutaka uenyekiti iwe nongwa na gumzo hivi. CUF nao wana mchakato wa kumpata mwenyekiti wao. Kina Rwakatare wanagombea sambamba na Lipumba mkongwe aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa muda mrefu, lakini huko hamuandiki upupu kumsiginia kunguni anayechuana na mkongwe huyo ila kwa Lissu ni gumzo kubwa
kwasasababu mimi ni mtafiti mwandamizi na mtaalamu mbobevu katika masuala ya siasa za vyama, hasa nyakati muafaka za uchaguzi, kuweza kutafiti mambo mbalimbali kwa faida ya wadau wa siasa na jamii kwa ujumla.
Gentleman,
Je,
kuna ubaya wowote kwenye hilo gentleman, na hasa ukizingatia uhuru na haki za kiDemokrasia kikatiba chini?
au gubu?
kwahiyo gentleman,Kumbe upo hapo kwaajili ya kupendezesha pambano sio
Yanga akifungwa Champions league na TP Mazembe, Simba anafurahia
Simba akipata Sare na KenGold Yanga anafurahia 😅
Utani na uendelee
Lwakatare amesema hivi,
ikiwa Lipumba atajitokeza kugombea tena nafasi hiyo, yeye atajiengua kwasababu wametoka mbali na ni yeye Lwakatare ndio aliemshawishi Lipumba kugombea uenyekiti Taifa,
Kupambana nae itakua ni kukosa adabu na kumvunjia heshima mtu ambae wanaheshimiana na kupendana sana.
Mpaka sasa Lipumba hajasema chochote ikiwa atagombea ama laa, licha ya kwamba tayari wanachama wameshamchukulia fomu.
Tamaa na uchu wa madaraka aloonyesha Lisu tena bila kupiga mahesabu, imeibua tension kubwa sana kwa wabobevu kushuhudia anguko lake kisiasa huku tukitoa shule na darasa kwa wadau wa JF
mimi si mtabiri gentleman,Basi endelea na ubashiri wako mkuu. Sheikh Yahya wewe ndiye aliyekuachia mikoba yake ya ubashiri.
Hiyo sio intelligence ila ni mipango ovu ya genge la mbowe na chawa wakeTundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa Chadema Taifa na sio makamu mwenyekiti tena, kumbe ni hadaa za kisayansi tu, dhidi ya wenye tamaa na uchu wa madaraka kama wa lisu. Maskini dah. Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.
Lengo ni kumuondoa bila utata kwenye nafasi za uongozi Chadema, lakini pia kuondoa ugumu wa kumpata mgombea urasi wa Chadema 2025. Kumuondoa Lisu kwenye uongozi wa Chadema, kumerahisisha sana kumpata mgombea urasi asie Lisu bila chama kutikisika.
Miongoni mwa makachero hao, ni pamoja na hao wanaompigia simu, wanamuhadaa na kumtisha, nae bila kujua kua anarubuniwa. Anaogoma hata kuwataja, kwakua eti watu hao ni wa heshima sana nchi hii, ndio maana wanamtonya na kumshauri eti ajiongezee ulinzi, kwani kuna mipango ovu dhidi yake inapangwa, halafu ikitekelezwa atasingiziwa Mbowe.
Hizo ni hadaa anazofanyiwa na intelijensia ya Chadema bila yeye kujua. Itafika mahali atatishwa na kuikimbia nchi, kumbe ni kwasabb ya kushindwa uchaguzi.
Hata hivyo,
hivyo ndivyo intelijensia katika sayansi ya siasa hufanyika. Unamchochea muhusika aamini jambo lisilokuwepo, ili ajae kwenye 18 na mambo yake yaishe softly akishangaa na kung'aa macho tu.
Intelijensia ya kumshawishi Lisu ajiengue kugombea umakamu mwenyekiti Taifa, imetumika pia na kumuhadaa agombee uenyekiti wa Chadema Taifa, hali ya kua hana uwezo. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa intelijensia team ya Chadema, na ni utapeli wa kisayansi sana amefanyiwa Lisu na kumtoa kabisa kwenye reli na medani ya siasa za kitaifa tuendako.
Sote ni mashahidi,
kwamba, kumrubuni mtu mwenye tamaa na uchu wa madarka ni kitu rahisi sana.
Ameruka majivu amekanyaga moto, na mkataa pema pabaya pana muita wahenga walisema hayo.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Hiyo sio intelligence ila ni mipango ovu ya genge la mbowe na chawa wake
umekosea gentleman,Watu wa CCM mtaandika kila hadithi. Huu ni Uzi wako wa 900 sasa Tundu Lissu/ MBOWE saga
Kwani uchaguzi ushafanyika?Gentleman,
Unamaanisha mipango yenye nia na dhamira njema ya Lisu na maaskofu wake, imefeli terribly dhidi ya ile mipango hiyo ya Mbowe?
kama ni hivyo,
Lisu anaweza nini sasa zaidi ya kushindwa mipango mikakati lakini pia kushindwa vibaya sana uchaguzi?🐒