Intelijensia ya CHADEMA imefanikiwa kumuhadaa na kumuengua Tundu Lissu kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti na ile ya Mwenyekiti Taifa kisayansi sana

WEWE kweli ni BUMUNDA,KUBWA JINGA,POPOMA πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
 
WEWE kweli ni BUMUNDA,KUBWA JINGA,POPOMA πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
tuliza mawenge gentleman upate uhondo wa ukweli na uhakika kutoka duru za ndani kabisa kutoka korido za ufipa,

kumbafu sana aise dah πŸ’
 
Ccm wamepaniki Sana kusikia lissu anagombea uwenyekiti wa chadema
kwakweli amekua na majuto mno,
na kwa kiasi kikubwa yupo lonely na very confused dhidi ya calmness ya chairman Mbowe whether atagombea ama laa..

kinachomuumiza zaidi ni kwamba tayari amejikosea umakamu wenyekiti na iwapo chairman Mbowe atachukua form, ni wazi atamlambisha sakafu vibaya sana..

na hiyo ni kumaanisha Tundu Lisu atabaki mikono mitupu tu kama wewe ulivyo dah!

Tamaa kitu mbaya sana πŸ’
 
Mwanzoni maccm yalishangilia,sahivi yamegundua ohoooo ajae ni tabu zaidi yanabadili uelekeo TenaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Siku Lissu akiwa mwenyekiti sijui utajuficha wapi.
 
Hapa unapiga tu ramli, unachosema huwezi kukithibitisha.
MOJA YA SIFA KUU YA LISSU SIYO MUOGA. .. ALIKUFA AKARUDI DUNIANI! ANATEMBEA NA RISAS, HAJAWAHI KUWA KIBARAKA WA CCM LAKINI MPAKA LEO ANAZUNGUMZWA KAMA LOWASSA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…