Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport


Amewakosea nini mpaka mhangaike naye hivyo? Kila Lenye mwanzo lina mwisho. Poleni sana mnaohangaika na mambo ambayo hayana umuhimu wowote.
 
Amewakosea nini mpaka mhangaike naye hivyo? Kila Lenye mwanzo lina mwisho. Poleni sana mnaohangaika na mambo ambayo hayana umuhimu wowote.
Mkuu, sidhani kama ni sahihi kusema hayana umuhimu wowote. Hata shuleni na vyuoni kuna mengi tunasoma waweza dhania hayana umuhimu wowote. Lakini unajikuta una ya apply na kuya practice katika maisha ya kila siku pengine bila mwenyewe ku notice

Kwenye kisa hiki cha kukamatwa Rusesabagina kuna mafunzo na mazingatio meengi sana kwa watu wenye kutaka kujifunza
 
Serious? Rwanda inatumia the little resources they have to steal in Congo and fight war on PK challengers
Kuna critics wa Israel kwa mfano wanasema operations nyingi za nchi hiyo ni dhidi ya ardhi na rasilimali ya nchi nyingine na ndio maana inaitwa/wanajiita great country pamoja na udogo wa taifa hilo kijiografia japo kuna maoni tofauti kwenye hili
 

Hivi kila superstar Rwanda ni mhalifu isipokuwa PK tu?
 
Kuna critics wa Israel kwa mfano wanasema operations nyingi za nchi hiyo ni dhidi ya ardhi na rasilimali ya nchi nyingine na ndio maana inaitwa/wanajiita great country pamoja na udogo wa taifa hilo kijiografia japo kuna maoni tofauti kwenye hili

Israel rarely kill Israelites. Israel deals with their enemies, mostly arabs.
Sasa Rwanda inapambana na wanyarwanda wanaotaka kuona genocide haitumiki kisiasa. Badala ya kuunganisha nguvu mnamalizana taratibu halafu mnajifananisha na Israel.
Muafrika ni muafrika tu
 
Wazungu wakampa uraia, akapewa tuzo nyingi kama shujaa kumbe naye ailikuwa "mdhamini" wa mauaji na msaliti wa nchi yake! (Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu jamaa hasa pale unapoona kiongozi anapewa support kubwa na mataifa ya magharibi na Marekani) Ingekuwa Tanzania Paul Rusesabagina angekuwa kiongozi wa chama cha siasa au NGO ya kutetea Haki za raia, na hata urais angegombea tu, ila kwa Rwanda ukiisaliti nchi na kuwatumikia "mabeberu" lazima wakuwinde tu!
 
Je, shutuma anazo shutumiwa ni za kweli au ni vile anampinga kiongozi aliyepo madarakani?
Waafrika tuna shida sana kwenye kubadilishana uongozi.
 
Hii hoja yako inafikirisha sana Mkuu, ni observation ya kuizingatia
 
Serikali ya Rwanda inadai kuna ushahidi wa kutosha kumfungulia mashtaka ya kuhusika na genocide
Kwa mujibu wa sources mbalimbali za habari,serikali ya Rwanda na PK ambae wiki iliyopita alikua Live anahojiwa huko mitandaoni ni kwamba huyo jamaa hajashitakiwa kwa Kuhusika na Genocide bali ameshtakiwa kwa kikundi chake FNL kufanya mashambulii ndani ya Rwanda na kuua watu kadhaa na kuharibu mali na kuna video inatembea huko Twitter huyo jamaa wa Hotel Rwanda akikipongeza hicho kikundi chake kwa kufanya hayo mashambulizi.
 
Huyo Kagame pia ana makosa ya kujibu mengi tu,tuombe uzima.

RIP Profesa Jwan Mwaikusa
 
Serikali ya Rwanda inadai kuna ushahidi wa kutosha kumfungulia mashtaka ya kuhusika na genocide
Inawezekana ikawa ni kweli na vile vile isiwe kweli ila ni kwa maslahi mapana kwa walio madarakani,historia ya viongozi wetu inawashitaki linapotokea suala la kuwakamata wakosoaji wa utawala wao.
 
Muusika wa kwanza na mkuu wa genocide ni PK mwenyewe, the rest are just pawns he is using to cement his POWER
Mkuu, ripoti rasmi tunazozisoma na kuzisikia ni kwamba Paul Kagame na RPF yake ndio walisimamisha genocide baada ya siku 100 za kuogofya sana ambapo Watutsi na Wahutu wenye msimamo wa wastani waliuliwa na Interahamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…