Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

Nazungumzia
Kwanini unawasifia sana wanyarwanda na sio Tanzania? Wanakulipa? Kwanini hiyo intelligence yao ilishindwa kuzuia mauaji?
Nazungumzia Intelijensia ya Rwanda baada ya mauaji ya kimbari ya 1994, wakati nchi yao ipo chini ya RPF.

Kuna kitu sijakueleqa labda mkuu? Niisifie intelijensia ya Tanzania inahusiana nini na mada hii?
 
Amewakosea nini mpaka mhangaike naye hivyo? Kila Lenye mwanzo lina mwisho. Poleni sana mnaohangaika na mambo ambayo hayana umuhimu wowote.
Wewe ni intarahamwe?? Mbona povu!?? Tuache tupate habari rudi kwenu katubu
 
We have to love our continent and her progress. Hatuwezi kuendelea kupigana nyundo na kutafuta maendeleo. Stability ya DRC, Rwanda, Burundi ni muhimu kwa ustawi wa eneo letu. Hizi approach za kizamani hazina nia njema kabisa na eneo letu
Tatizo la Africa lipo kwenye mifumo ya utawala ambayo hairuhusu kutengeneza taasisi imara bali inajenga zaidi individuals. Nimeutafakari sana ule mfano wa Israel na kugundua kwamba uzalendo tunaouimba kwenye nchi zetu za Kiafrika ni uzalendo feki

Israel haihujumu raia wake ndani na nje ya nchi ka ambavyo Raia wa Israel hawawezi kuihujumu na kuisaliti nchi yao popote pale walipo. Kwa namna hiyo lazima taifa lenu litakua kubwa na lenye maendeleo
 
How mzee baba?Hicho ndicho ninachotaka kujua,yaani alilaghaiwa kwa style gani?
1. Kwa taarifa za sasa, alikuwa safarini, 27 Agosti alikuwa Dubai na aliwasiliana na familia yake.

2. Alipanda ndege binafsi "private jet" iliyokuwa inaelekea mojawapo ya nchi iliyopo Afrika ya Kati. (Hapa ndio kwenye utata)

3. Ndege ilitua Kigali na akawekwa chini ya ulinzi.
 
Wewe ni intarahamwe?? Mbona povu!?? Tuache tupate habari rudi kwenu katubu

Rwanda kila anayesema PK unaharibu, anakamatwa na anaitwa intarihamwe. PK will crumble if he continues enjoying power by these methods. Muda utaongea
 
Tatizo la Africa lipo kwenye mifumo ya utawala ambayo hairuhusu kutengeneza taasisi imara bali inajenga zaidi individuals. Nimeutafakari sana ule mfano wa Israel na kugundua kwamba uzalendo tunaouimba kwenye nchi zetu za Kiafrika ni uzalendo feki

Israel haihujumu raia wake ndani na nje ya nchi ka ambavyo Raia wa Israel jawawezi kuihujumu na kuisaliti nchi yao popote pale walipo. Kwa namna hiyo lazima taifa lenu litakua kubwa na lenye maendeleo

Hawa tunaowarudi mara nyingi sio kweli wote ni wahalifu. Israel ina nguvu sababu imeweza kuwatumia vyema waisrael wanaoishi popote duniani. Sisi tunaona fahari kuwaua na kuwakamata bila sababu za msingi
 
Muusika wa kwanza na mkuu wa genocide ni PK mwenyewe, the rest are just pawns he is using to cement his POWER
Very true.
Mauaji ya watusi yalifanywa out of panick, frustration and anger. Ni reaction baada ya Rais wao kuuliwa tena na kikundi kidogo cha kina Kagame wakisaidiwa na Marekani. Kwa hiyo ni sahihi kusema Kagame ndiyo chanzo cha genocide baada ya kumuua Rais.
 
Kagame mwenyewe aliulizwa je,walimteka huyo jamaa?

Akakataa akasema alikamatwa in a 'flawless Operation' na akaendelea kusema:

“He got here on the basis of what he believed and wanted to do,It’s like if you fed somebody with a false story that fits well in his narrative of what he wants to be and he follows it and then finds himself in a place like that.And he will say it, when the time comes, he will tell the people what happened."

So Mpk hapo maelezo ya PK hayajatoa mwanga wa maana wa kitu gani kilitokea nadhani mpk huyo jamaa mwenyewe aliyekamatwa aseme alikamatwaje.

Ningependa kusikia maelezo ya huyo jamaa pia.
Ngoja nikufafamulie. Wewe ni wanted. Unafuatiliwa na watu wengi tu, na wengi wao huwajui, ila wewe wanakujua vizuri sana na interests zako. Unaenda kwa mtu anaedili na kitu ambacho unakihitaji sana. Anakufahamu na unamfahamu. Anakudanganya, aaaa!!! hivi vitu nimeishiwa, tens umechance kweli, kuna jamaa yangu alikuja Jana anahitaji kitu hikihiki akakosa. Ameamua kukifuata mwenyewe China(mfano), wamekodi ndege, ngoja nikuunganishe. Unafurahi sana na kumshukuru sana jamaa yako na asante nyingi sana. Unaenda mazima na usingizi wa pono kwenye ndege. Unashtushwa kutoka usingizini kwa kupigwapigwa begani. Taaap!!! uso kwa uso na sharubu za Simba wa Msimbazi!!! Mwakeye mwalaye? Ulakomeye magabo? Za misi? Tulakukunda change!
 
Kwanini intelligence ya Rwanda ilishindwa kuzuia mauaji yasitokee?
Kumbuka kipindi kile RPF chini ya Fred Rwigema na junior officer Kagame ndio walikuwa kwenye mapambano ya kutaka kuitawala Rwanda wakitokea Uganda kwa usaidizi wa Mu7...
infact Ile choko choko ndio ili easy their entry and ascending to power....
hapo inasemekana badae PK alimgeuka Rwigema na yy kubaki kuwa Landlord wa Rwanda mpaka leo
 
Back
Top Bottom