Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

Oparation nzuri sana kama imefanyika kwa zaidi ya miaka kumi na tano,basi inabidi kuwa makini sana na hawa jamaa wanaweza kukufuatilia kwa muda mrefu hadi ukahisi hawana tena story na wewe kumbe ndo wamezidi kujua mambo yako mengi hadi kinyaji unachopendelea kunywa.
 
Rwanda wakiamini mtu fulani anahatarisha usalama wa nchi yao basi ajue hayuko salama popote pale alipo duniani. Nakumbuka miaka ya 1980s Nigeria walijaribu kumteka aliyekua waziri wao wa mambo ya nje akakimbila Uk lakini issue ika backfire airport
Umaru Diko,alikua waziri wa mafuta na usafirishaji,aliiba dola bilioni moja
Jenerali katili kuwahi kutokea Sani Abacha,alituma makachero,wakamteka wakamtia katika sanduku ,wakaandika kuwa ni mzigo wa kidiplomasia
Kilichomuokoa airport alipiga chafya kama tatu mfululizo kwa jili ya dawa za usingizi zilikua zinaisha nguvu,wazungu wakasema fungua mzigo msitutanie!
 
Tatizo la Africa lipo kwenye mifumo ya utawala ambayo hairuhusu kutengeneza taasisi imara bali inajenga zaidi individuals. Nimeutafakari sana ule mfano wa Israel na kugundua kwamba uzalendo tunaouimba kwenye nchi zetu za Kiafrika ni uzalendo feki

Israel haihujumu raia wake ndani na nje ya nchi ka ambavyo Raia wa Israel hawawezi kuihujumu na kuisaliti nchi yao popote pale walipo. Kwa namna hiyo lazima taifa lenu litakua kubwa na lenye maendeleo
Hivi Rwanda wameshafikiria nani atakuwa Raisi wao baada ya Kagame?
Mbele giza...
 
Rusesabina aliyecheza filamu maarufu inayoelezea mauwaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ambapo yeye alikua Manager wa Hotel akiwaokoa Watutsi wasivamiwe na kuchinjwa na Interahamwe hatimaye amefikishwa mbele ya sheria kwa makosa ya kuhusika na njama za mauji hayo hayo
Mpaka hapa umeshatulisha matango pori, Rusesabagina hajawahi kucheza sinema
 
Israel rarely kill Israelites. Israel deals with their enemies, mostly arabs.
Sasa Rwanda inapambana na wanyarwanda wanaotaka kuona genocide haitumiki kisiasa. Badala ya kuunganisha nguvu mnamalizana taratibu halafu mnajifananisha na Israel.
Muafrika ni muafrika tu
Duh
 
Wazungu wakiamua kukunyanyua wanakupaisha tu. Hata hivyo kuna watu wanadai kwamba serikali ya Kigali ilanza kumuandama Rusesabagina baada ya kutangaza kumpinga na kutaka kumuondoa madarakani Rais Kagame kwa kutumia nguvu baada ya juhudi za kumuondoa kidemokrasia kushindikana
Rusesabagina hajawahi kuwa na mpango huo. Kinachomuudhi PAKA ni kuwabRusesabagina anasema ukweli wa kilichotokea kuwa waliouawa siyo watutsi tu..........
 
Muwe mnasoma thread kwa thread sio kukurupuka......
Nijibu kwa nilichonukuu, usisome ili ujibu, usome ili uelewe na ujibu ulichoelewa. Kama uko kwa ajili ya kupotosha chaguanjukwaa lako halisi
 
Rusesabagina hajawahi kuwa na mpango huo. Kinachomuudhi PAKA ni kuwabRusesabagina anasema ukweli wa kilichotokea kuwa waliouawa siyo watutsi tu..........
Sijakuelewa Mkuu, kwamba kusema waliouwawa sio Watutsi pekee ni kosa?
 
Ha
Uganda umri wa kustaafu m7 umefika , wazee wa wakaenda RITA ya Uganda kudai umri wa m7 kustaafu bado wao ndio wanaojua umri sahihi bado kama 5yrs. Hahaaa! Africa!
Halafu kuna General Mhoozi Kainerugaba anapiga jaramba kuchukua nafasi ya Baba wakati utakapowadia
 
Wazungu wakampa uraia, akapewa tuzo nyingi kama shujaa kumbe naye ailikuwa "mdhamini" wa mauaji na msaliti wa nchi yake! (Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu jamaa hasa pale unapoona kiongozi anapewa support kubwa na mataifa ya magharibi na Marekani) Ingekuwa Tanzania Paul Rusesabagina angekuwa kiongozi wa chama cha siasa au NGO ya kutetea Haki za raia, na hata urais angegombea tu, ila kwa Rwanda ukiisaliti nchi na kuwatumikia "mabeberu" lazima wakuwinde tu!
View attachment 1568411
Stop beating around the bush mr, be candid!
 
Back
Top Bottom