GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi la Akiba (mgambo). Sio jambo linalohitaji intelijensia kubaini uwepo wake. Lipo kwa mujibu wa sheria za nchi. Mafunzo ya Jeshi la akiba yamekuwa yakisimamiwa na JWTZ tangu kuanzishwa kwake. Moderator mada hii iwekwe kwenye JamiiCheck
km la mamaako!
 
Aiseee. Hakuna siri chini ya jua ni weledi tu. Navitazama vyombo vyetu vya ulinzi hasa wale ambao ni wazalendo sijui huwa wanafanha nini huko.
 
Nakumbuka shuleni walimu walikuwa wakitupa Dona na mchuzi wa nyama usio ungwa/supu

Huku wao wakila nyama iliyo ungwa na sembe na kutupa sisi mchuzi wa nyama usio ungwa supu na Dona

Kilicho tokea kiliwa shangaza Sana walimu
Mkuu umenikumbusha mbali sana 🤣🤣
 
Inakuja... tu wakati watu wasiojulikana watakapokuja kukukomesha usiku wa manane mlangoni kwako, basi utaona picha halisi ya kinachoweza kukutokea.
Sinashaka kama atakuwa bado anahitaji picture.
 
Jeshi la Akiba (mgambo). Sio jambo linalohitaji intelijensia kubaini uwepo wake. Lipo kwa mujibu wa sheria za nchi. Mafunzo ya Jeshi la akiba yamekuwa yakisimamiwa na JWTZ tangu kuanzishwa kwake. Moderator mada hii iwekwe kwenye JamiiCheck
Hakika!
 
Hawa vijana ni kweli wapo. Na haya makundi yanavaa tishet za simba na yanga. Siku nyingine utakuta wamevaa Kigoma nn sijui wanabadilisha matishet sana.

Kuna kundi nalijua mpaka najiuliza ni nani anawafadhili hawa vijana na kuwanunulia hayo matishet?
SIJUI KWANINI WATANZANIA HUWA WAGUMU KUKUBALI MAMBO MPAKA YATOKEE.
Yalisemwa mengi kuhusu watekaji na vikundi vyao lakini kuna michawa na mipumbavu ilipinga mpaka yalipotokea, haya kuna yale yalisemwa kuhusu wanajeshi wa uganda kuingia nchini kuna mijinga ilipinga mpaka pale ukweli ulipoonekana baada ya huo uchaguzi hewa wa wauwaji CCM.

Kuna mahala kama Taifa linakwenda kufika ambapo wanasiasa/viongozi wa serikali watajutia haya wanayoyafanya sasa
 

Attachments

  • 20251113_230751.jpg
    20251113_230751.jpg
    135 KB · Views: 17
Back
Top Bottom