GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpaka yatokee ndipo muamini, hamnaga tofauti na wale wanaosema Tanzania hakuna utekaji kuna amani, yaani mpaka yazikute familia zao ndipo wanaamini..

Hatuko salama
Mkuu usilete ushujaa kihivyo.
Huwezi kuamini kila jambo linalo andikwa mtandaoni bila ushahidi wa kutosha.
Sababu za kutoamini zipo nyingi sana.
Mfano mtandaoni hasa hizi social media hakuna wahariri na kiongozi wao mhariri mkuu mbaye huakikisha habari inazingatia mizani kwa kuhoji pande zote mbili (balanced story) n.k.
Watumiaji wa JF wanatumia utambulisho bandia, hivyo they can not be held responsible when they make false allegations or accusations.
Key word here is accountability.
 
Jeshi la Akiba (mgambo). Sio jambo linalohitaji intelijensia kubaini uwepo wake. Lipo kwa mujibu wa sheria za nchi. Mafunzo ya Jeshi la akiba yamekuwa yakisimamiwa na JWTZ tangu kuanzishwa kwake. Moderator mada hii iwekwe kwenye JamiiCheck
Kivip!?
 
Back
Top Bottom