Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
3A9911FF-8462-4CC6-B137-AFC1C3FAE42A.jpeg

Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema ,

Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke.
Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote.
Lengo lilikuwa ni kusimamisha mapigano kwa muda kidogo ili mipango mingine iendelee.

Russia akanasa, akawa yupo busy kupazunguka pale na kuimarisha ulinzi. Niliwahi kusoma kundi moja la UKRAINIAN WAR UPDATES kuna mchmbuzi anaitwa Thadeusi Musembi alieleza jambo week iliyopita kuwa Ukraine wanavyosogea kutokea Izyum ili kuelekea Mariupol, itawalazimisha Russia kujaza wsnajeshi pale Mariupol na hivyo kuachia maeneo mengine.

Sasa naona hapa
Ndicho kilichotokea Russia akawajaza wanajeshi pale Mariupol akiendelea kukizunguka kile kiwanda na kulinda ili hata inzi wasitoke.

Tangu kuanza kwa wiki hii Russia akaanza kuonekana na uhakika na ushindi wa pale Azovstal, kumbe kachezewa akili, katengenezewa mfanyakazi mstaafu wa kile kiwanda na kwenda kuwapa siri kuwa kuna njia mpya za siri zilizomo mule kiwandani ambazo Ukraine soldiers wamepanga kuzitumia kutoroka. Njia hizo ni kweli zipo, Russia wakafanya ujasusi wao juu ya ile taarifa wakajiridhisha kuwa ni kweli. Masikini hata mtoa taarifa yule hakujua kuwa na yeye amepangwa tu.

Russia akaamua kimya kimya kuingiza majeshi yake mengi humo ndani na kwenye zile njia za siri za ardhini.

Kilichofuata ndiyo kile mlichosikia kuwa mawasiliano na askari wa Ukraine hayapo tena kwani hawafikiki kwa communication yoyote, kumbe hapo tayari watu wakikuwa busy kuwapokea wageni wao. Russia naye alipoona hapati mawasiliano ya wanajeshi wake ndipo akaanza kurusha makombora kushambulia maeneo yenye njia za siri

Britanicca
 
Hili Suala la Vita ya Ukraine tutajua hata ambayo ni ya kushangaza !!

Ila tusubiri hiyo tarehe 9 keshokutwa tuone the way Urusi atafanya reaction zake Kwa alichotangaza!

Amepangwa Gwaride litafanyika Mauripol Kwa taarifa zisizo rasmi ila mimi naamini hakutakuwa na gwaride eneo tajwa labda kifanyike Urusi mji mmoja wapo
 
endelea kudanganya huku ndugu zako wanazidi kupungua.......​

soma hapo kutoka Reuters na the gardian​

Russia claims to have killed 600 Ukrainian fighters overnight in artillery strikes​

Russia said this morning that its artillery struck multiple Ukrainian positions and strongholds overnight, killing 600 fighters.

Reuters reports the defence ministry also said its missiles destroyed aviation equipment at the Kanatovo airfield in Ukraine’s central Kirovohrad region, and a large ammunition depot in the southern city of Mykolaiv.
 
View attachment 2212239

Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema ,

Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke.
Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote.
Lengo lilikuwa ni kusimamisha mapigano kwa muda kidogo ili mipango mingine iendelee.

Russia akanasa, akawa yupo busy kupazunguka pale na kuimarisha ulinzi. Niliwahi kusoma kundi moja la UKRAINIAN WAR UPDATES kuna mchmbuzi anaitwa Thadeusi Musembi alieleza jambo week iliyopita kuwa Ukraine wanavyosogea kutokea Izyum ili kuelekea Mariupol, itawalazimisha Russia kujaza wsnajeshi pale Mariupol na hivyo kuachia maeneo mengine.

Sasa naona hapa
Ndicho kilichotokea Russia akawajaza wanajeshi pale Mariupol akiendelea kukizunguka kile kiwanda na kulinda ili hata inzi wasitoke.

Tangu kuanza kwa wiki hii Russia akaanza kuonekana na uhakika na ushindi wa pale Azovstal, kumbe kachezewa akili, katengenezewa mfanyakazi mstaafu wa kile kiwanda na kwenda kuwapa siri kuwa kuna njia mpya za siri zilizomo mule kiwandani ambazo Ukraine soldiers wamepanga kuzitumia kutoroka. Njia hizo ni kweli zipo, Russia wakafanya ujasusi wao juu ya ile taarifa wakajiridhisha kuwa ni kweli. Masikini hata mtoa taarifa yule hakujua kuwa na yeye amepangwa tu.

Russia akaamua kimya kimya kuingiza majeshi yake mengi humo ndani na kwenye zile njia za siri za ardhini.

Kilichofuata ndiyo kile mlichosikia kuwa mawasiliano na askari wa Ukraine hayapo tena kwani hawafikiki kwa communication yoyote, kumbe hapo tayari watu wakikuwa busy kuwapokea wageni wao. Russia naye alipoona hapati mawasiliano ya wanajeshi wake ndipo akaanza kurusha makombora kushambulia maeneo yenye njia za siri

Britanicca
Zelensky kampigia magoti katibu wa UN ili watu wake wawe salama wewe unaleta ngojera, tayari wanaume wapo ndani ya kiwanda , yule kamanda aliekuwa analilia ulimwengu wamsaidie na wenzake, sasa anadai wanapigania damu yao tulia kimya achana na propaganda za KIEV
 
Rubbish,eti wamejitoa muhanga!Wale wameenda kujificha na wakachukua na raia as human shield!
Mtu aliyejitoa muhanga anajirekodi video akiomba msaada Kwa UN wawasaidie watoke salama😀!
You are full of crap!
 
Ila tuwe wakweli baada ya Torabora, sehemu inafuata kwa kupelekewa moto ni Azovstal.... Ile milipuko ya jana ni hatari na nusu
 
View attachment 2212239

Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema ,

Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke.
Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote.
Lengo lilikuwa ni kusimamisha mapigano kwa muda kidogo ili mipango mingine iendelee.

Russia akanasa, akawa yupo busy kupazunguka pale na kuimarisha ulinzi. Niliwahi kusoma kundi moja la UKRAINIAN WAR UPDATES kuna mchmbuzi anaitwa Thadeusi Musembi alieleza jambo week iliyopita kuwa Ukraine wanavyosogea kutokea Izyum ili kuelekea Mariupol, itawalazimisha Russia kujaza wsnajeshi pale Mariupol na hivyo kuachia maeneo mengine.

Sasa naona hapa
Ndicho kilichotokea Russia akawajaza wanajeshi pale Mariupol akiendelea kukizunguka kile kiwanda na kulinda ili hata inzi wasitoke.

Tangu kuanza kwa wiki hii Russia akaanza kuonekana na uhakika na ushindi wa pale Azovstal, kumbe kachezewa akili, katengenezewa mfanyakazi mstaafu wa kile kiwanda na kwenda kuwapa siri kuwa kuna njia mpya za siri zilizomo mule kiwandani ambazo Ukraine soldiers wamepanga kuzitumia kutoroka. Njia hizo ni kweli zipo, Russia wakafanya ujasusi wao juu ya ile taarifa wakajiridhisha kuwa ni kweli. Masikini hata mtoa taarifa yule hakujua kuwa na yeye amepangwa tu.

Russia akaamua kimya kimya kuingiza majeshi yake mengi humo ndani na kwenye zile njia za siri za ardhini.

Kilichofuata ndiyo kile mlichosikia kuwa mawasiliano na askari wa Ukraine hayapo tena kwani hawafikiki kwa communication yoyote, kumbe hapo tayari watu wakikuwa busy kuwapokea wageni wao. Russia naye alipoona hapati mawasiliano ya wanajeshi wake ndipo akaanza kurusha makombora kushambulia maeneo yenye njia za siri

Britanicca
Tafuta KAZI Dogo utapakatwa
 
Ni zaidi ya mwaka sasa sijawahi soma thread ya Britannica isiyo na dalili za utoto. Yani ukisoma unaona kabisa huyu aliyeandika either anadevelop matatizo kichwani kama ugonjwa wa akili au katumwa.

Kwenye siasa za Tanzania nilidhani katumwa ila huku unajua sio mjumbe huyu ni matatizo yake binafsi. Umaarufu wako uliupata kipindi JF ina akili isingewezekana uwe mbumbumbu na uwe maarufu. Sanasana naamini kuna psychological problems au mental disorders zinaendelea kukua
 
View attachment 2212239

Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema ,

Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke.
Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote.
Lengo lilikuwa ni kusimamisha mapigano kwa muda kidogo ili mipango mingine iendelee.

Russia akanasa, akawa yupo busy kupazunguka pale na kuimarisha ulinzi. Niliwahi kusoma kundi moja la UKRAINIAN WAR UPDATES kuna mchmbuzi anaitwa Thadeusi Musembi alieleza jambo week iliyopita kuwa Ukraine wanavyosogea kutokea Izyum ili kuelekea Mariupol, itawalazimisha Russia kujaza wsnajeshi pale Mariupol na hivyo kuachia maeneo mengine.

Sasa naona hapa
Ndicho kilichotokea Russia akawajaza wanajeshi pale Mariupol akiendelea kukizunguka kile kiwanda na kulinda ili hata inzi wasitoke.

Tangu kuanza kwa wiki hii Russia akaanza kuonekana na uhakika na ushindi wa pale Azovstal, kumbe kachezewa akili, katengenezewa mfanyakazi mstaafu wa kile kiwanda na kwenda kuwapa siri kuwa kuna njia mpya za siri zilizomo mule kiwandani ambazo Ukraine soldiers wamepanga kuzitumia kutoroka. Njia hizo ni kweli zipo, Russia wakafanya ujasusi wao juu ya ile taarifa wakajiridhisha kuwa ni kweli. Masikini hata mtoa taarifa yule hakujua kuwa na yeye amepangwa tu.

Russia akaamua kimya kimya kuingiza majeshi yake mengi humo ndani na kwenye zile njia za siri za ardhini.

Kilichofuata ndiyo kile mlichosikia kuwa mawasiliano na askari wa Ukraine hayapo tena kwani hawafikiki kwa communication yoyote, kumbe hapo tayari watu wakikuwa busy kuwapokea wageni wao. Russia naye alipoona hapati mawasiliano ya wanajeshi wake ndipo akaanza kurusha makombora kushambulia maeneo yenye njia za siri

Britanicca
Alisikika mkazi mmoja wa Mloganzila
 
Hili Suala la Vita ya Ukraine tutajua hata ambayo ni ya kushangaza !!

Ila tusubiri hiyo tarehe 9 keshokutwa tuone the way Urusi atafanya reaction zake Kwa alichotangaza!

Amepangwa Gwaride litafanyika Mauripol Kwa taarifa zisizo rasmi ila mimi naamini hakutakuwa na gwaride eneo tajwa labda kifanyike Urusi mji mmoja wapo
Hata akifanyia ukraine sioni kama kuna ubaya sababu bado ukraine ana uwezo wa kuikomboa mariupol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto USA wameanza kulipata maana kitu kikubwa kinachowaumiza ni Russia kutumia pesa yake katika manunuzi ya mafuta na Gas yao hii ikitokea tu na nchi kama Saudia kusema nunua kwa pesa yangu basi $ watu watachoma moto na huko US wameanza kupandisha Fed interest ili kuondoa au kupunguza mzunguko wa pesa kwa maana ni gharama kubwa watu kutaka mikopo sababu kuna pesa nyingi mtaani na demand ni ndogo ya $. Huku tunakokwenda naona anguko la $ kuwa kama pesa ya dunia na hii inawapa shida sana US, haya mambo yamepangwa muda mrefu na Ukraine ni sababu tu lakini goal ni kubwa kuliko Ukraine. Russia+China+India na mpaka KSA na UAE ndio maana wote kimyaa.
 
Dollari zinaenda kua kama Ksh kwakweli naitapendeza sana
Maana wamezidi kuonea watu kwamakaratasi yao
Puwa US

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi ameandika kama vile amesoma mambo yanayotokana na hotuba ya Biden,Boris,NATO....Kama kweli Ukraine wakisaidiwa na mashetani wauawaji wa Magharibi anapata mafanikio kiasi hiki,Iweje kila siku mcheza sinema anazidi kulia kuomba misaada na kutaka kuonanana na Putin.Mara ya mwiaho walisema wanaomba kukutana bila masharti.Jamaa kadanganywa na NATO vita ikianza tutaingia front line kupambana bega kwa bega..mwanaume alipoingia kazini wakamwambia tukiingia ni vita ya 3 ya dunia tutakusaidia.sasa wanampelekea silaha baadhi ndo zinaoshia kupigwa high precision Khinzal na onikh missiles.Anyway vita ni mbaya na matokeo yake ni mabaya sana.Tuombe Mungu busara itawa;e vimalizike mapema
 
Back
Top Bottom