britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #61
KabisaHili Suala la Vita ya Ukraine tutajua hata ambayo ni ya kushangaza !!
Ila tusubiri hiyo tarehe 9 keshokutwa tuone the way Urusi atafanya reaction zake Kwa alichotangaza!
Amepangwa Gwaride litafanyika Mauripol Kwa taarifa zisizo rasmi ila mimi naamini hakutakuwa na gwaride eneo tajwa labda kifanyike Urusi mji mmoja wapo