Mleta uzi ameandika kama vile amesoma mambo yanayotokana na hotuba ya Biden,Boris,NATO....Kama kweli Ukraine wakisaidiwa na mashetani wauawaji wa Magharibi anapata mafanikio kiasi hiki,Iweje kila siku mcheza sinema anazidi kulia kuomba misaada na kutaka kuonanana na Putin.Mara ya mwiaho walisema wanaomba kukutana bila masharti.Jamaa kadanganywa na NATO vita ikianza tutaingia front line kupambana bega kwa bega..mwanaume alipoingia kazini wakamwambia tukiingia ni vita ya 3 ya dunia tutakusaidia.sasa wanampelekea silaha baadhi ndo zinaoshia kupigwa high precision Khinzal na onikh missiles.Anyway vita ni mbaya na matokeo yake ni mabaya sana.Tuombe Mungu busara itawa;e vimalizike mapema