Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

Zelensky kampigia magoti katibu wa UN ili watu wake wawe salama wewe unaleta ngojera, tayari wanaume wapo ndani ya kiwanda , yule kamanda aliekuwa analilia ulimwengu wamsaidie na wenzake, sasa anadai wanapigania damu yao tulia kimya achana na propaganda za KIEV
unahisi alikofikia akiachwa ndo haez dondoka , ndio maana hamuendelei ukipata buku unamdharau boss et huna shida
 
Rubbish,eti wamejitoa muhanga!Wale wameenda kujificha na wakachukua na raia as human shield!
Mtu aliyejitoa muhanga anajirekodi video akiomba msaada Kwa UN wawasaidie watoke salama[emoji3]!
You are full of crap!
mipango , sio ww huna hata mpango wa kujenga flat , utaeza mipango ya vita ? au unahis vita ni kama movie zenu za KOMANDO KIPENSI
 
Ni zaidi ya mwaka sasa sijawahi soma thread ya Britannica isiyo na dalili za utoto. Yani ukisoma unaona kabisa huyu aliyeandika either anadevelop matatizo kichwani kama ugonjwa wa akili au katumwa.

Kwenye siasa za Tanzania nilidhani katumwa ila huku unajua sio mjumbe huyu ni matatizo yake binafsi. Umaarufu wako uliupata kipindi JF ina akili isingewezekana uwe mbumbumbu na uwe maarufu. Sanasana naamini kuna psychological problems au mental disorders zinaendelea kukua
ebu kosoa taarifa yake kwa hoja , kumshambulia yy personal ni kuonesha utoto na kutokomaa kweny ujengaj hoja , wapumbav ndo wanasikiliza huo undez wako , humu TUNAJENGA HOJA SIO KUSHUSHIANA HESHIMA
 
Amekosa mabasha twita amehamia Jf
kwahiyo humu ni sehemu ya kutafuta mabash ? moderators walione hili , mnapotezea heshima ya jf , jenga hoja na sio matusi , ukiona kichwan yanakuja matus badala ya hoja juwa kuwa una upeo mfupi kwenye hilo jambo so sio vzr kuendelea kuonesha utopolo wak hapa
 
Joto USA wameanza kulipata maana kitu kikubwa kinachowaumiza ni Russia kutumia pesa yake katika manunuzi ya mafuta na Gas yao hii ikitokea tu na nchi kama Saudia kusema nunua kwa pesa yangu basi $ watu watachoma moto na huko US wameanza kupandisha Fed interest ili kuondoa au kupunguza mzunguko wa pesa kwa maana ni gharama kubwa watu kutaka mikopo sababu kuna pesa nyingi mtaani na demand ni ndogo ya $. Huku tunakokwenda naona anguko la $ kuwa kama pesa ya dunia na hii inawapa shida sana US, haya mambo yamepangwa muda mrefu na Ukraine ni sababu tu lakini goal ni kubwa kuliko Ukraine. Russia+China+India na mpaka KSA na UAE ndio maana wote kimyaa.
kwan ikianguka ndo USA itaanguka kiuchumi ? Mbona China anasurvive ?
 
Mleta uzi ameandika kama vile amesoma mambo yanayotokana na hotuba ya Biden,Boris,NATO....Kama kweli Ukraine wakisaidiwa na mashetani wauawaji wa Magharibi anapata mafanikio kiasi hiki,Iweje kila siku mcheza sinema anazidi kulia kuomba misaada na kutaka kuonanana na Putin.Mara ya mwiaho walisema wanaomba kukutana bila masharti.Jamaa kadanganywa na NATO vita ikianza tutaingia front line kupambana bega kwa bega..mwanaume alipoingia kazini wakamwambia tukiingia ni vita ya 3 ya dunia tutakusaidia.sasa wanampelekea silaha baadhi ndo zinaoshia kupigwa high precision Khinzal na onikh missiles.Anyway vita ni mbaya na matokeo yake ni mabaya sana.Tuombe Mungu busara itawa;e vimalizike mapema
watutsi wanalia mpk kesho , je walishindwa vita ?
 
kwahiyo kumbe humo kiwandani kwa sasa kuna wanajeshi wa Ukraine na wale wa Urusi wakiwa wamekwama

halafu hicho kiwanda kilijengwa toka enzi za USSR itakuaje mrusi ashindwe kuzijua njia za siri za kutokea ama kuingikia


#chai
so kama walijenga ndo hakuna maboresho ? pia kumbuka Ukraine ilikuwa inajiendesha ndan ya shirikisho so kumbu kumbu nyingi zipo ndan ya ukraine , mfumo wenu wa utendaj Tanzania usikupoteze maboya
 
so kama walijenga ndo hakuna maboresho ? pia kumbuka Ukraine ilikuwa inajiendesha ndan ya shirikisho so kumbu kumbu nyingi zipo ndan ya ukraine , mfumo wenu wa utendaj Tanzania usikupoteze maboya
== bwana mdogo
 
mstaafu ndio kaenda kuwaonyesha Wajeda njia za Siri hapo kiwandani Ina maana wao walikuwa hawazijui!? Kwani hao Wajeda sio wenyewe wa Mauripol!? Na hizo njia zilitengenezwa kwa matumizi gani!? Na Kama kweli zipo basi itakuwa zilitengenezwa kwa kusudi la kuzitumia wakati Kama huu, Sasa vipi jeshi la ulinzi wa eneo lisijue!?
"Ulishatuzoesha kutupiga kamba lakini Leo umetupiga vitanzi vya kunyongea"
Ukraine ilikuwa inajitawala ndan ya USSR so kumbu kumbu zote zilikuwa serikali kuu ya Ukraine bali maswala kadhaa ndo yalikuwa ya USSR km Tanganyika na Zanzibar so usizani mambo yote ya Zanzibar sisi serikali kuu tunayajua
 
Mbaya zaidi hicho kiwanda Urusi wanakijua A-Z maana walikijenga pamoja enzi za Soviet.
hahaaa Ukraine lilikuwa jimbo ambalo lilikuwa linajiendesha kwa 90% so kila kitu kilikwepo kyiv na watendaj tu ndo walikuja huko Ukraine kutokea Moscow
 
Endelea kuandika putin anastasia kichapo tu
 
Wachambuzi makanjanja sio kwenye mpira tu hata kwenye hii vita makanjanja ni wengi sana
 
Mbona hicho kiwanda kimepigwa Sana mabomu tena kimepigwa mpaka zile Bunker buster bombs,Russia wanalazimisha jamaa wajisalimishe lakini wamegoma na inavyoonekana warusi wanaogopa kuingia humo kiwandani kuzichapa na wanajeshi wa Ukraine.
Nahisi hii ni mara ya tano sasa au zaidi Russia anatoa onyo Kwa hao wanajeshi wajisalimishe lakini wamegoma

https://www.google.com/amp/s/amp.sc...-bunker-busters-mariupol-steel-plant-fortress
Upo sahihi kabisa,hawa Pro Russia wanapaswa kuelewa why hao wanajeshi wamekuwa na hiyo jeuri mpaka leo,ni kwamba wanajiamini huko ndani na mwenye jeuri awafuate humo akione cha moto
 
ebu kosoa taarifa yake kwa hoja , kumshambulia yy personal ni kuonesha utoto na kutokomaa kweny ujengaj hoja , wapumbav ndo wanasikiliza huo undez wako , humu TUNAJENGA HOJA SIO KUSHUSHIANA HESHIMA
Wewe anzia hapo kwenye kukosoa hoja, mimi nishatoka huko mpaka nakuja kumwambia hivi nina zaidi ya mwaka namkosoa kwa hoja ila sasa nimejua haitosaidia.

Wapumbavu ndio hukosoa hoja pekee na huku wakijua mwenye hoja ana tatizo. Ikiwa mtu ni mlevi ndio maana akaanguka, mpumbavu atamueleza jinsi alivyoanguka ila mwerevu atamweleza namna alivyokunywa pombe kupita kiasi. Tatizo hapo linakuwa ni ulevi
 
mipango , sio ww huna hata mpango wa kujenga flat , utaeza mipango ya vita ? au unahis vita ni kama movie zenu za KOMANDO KIPENSI
Unaonekana bado teenager kabisa!
 
Back
Top Bottom