😂😂😂😂 Shida wametumia majina fake mkuu😂😂😂
Msoma nyota Dogoli kinyamkela ,mpaka sasa nani nyota yake ipo juu?
Intelligent businessman au Half american ?
hatari mkuu lazima Half american apasuke tumboHatari sana
👉 Kwa sasa, Intelligent Businessman ndo yuko juu😂😂😂
Msoma nyota Dogoli kinyamkela ,mpaka sasa nani nyota yake ipo juu?
Intelligent businessman au Half american ?
Mpinzani wangu Half american kakimbia kudadadeki 😂Hili pambano linachelewa mno nataka kubet
shida ni nini?
Mpinzani wangu Half american kakimbia kudadadeki
Mpinzani wangu Half american kakimbia kudadadeki
Mkuu alafu habari za kibao cha nazi hapo ndo unazingua an...Anaepigana na shifu Poor Brain awe makini,maana anapiga Niunjitsu na Fujitsu anaweza kutumia hadi kibao cha mbuzi cha kukunia nazi kama silaha.
JichanganyeMpinzani wangu Half american kakimbia kudadadeki 😂
Mjini msingi mbio, kumradhi ni mbinu 😂
Hahaha 😂, kwa hiyo umetimua mbio mbele ya Intelligent businessman na kumpa heshima yake!Mjini msingi mbio, kumradhi ni mbinu 😂
Kakimbia yeye kama yupo mwambie areply hii comment leoHahaha 😂, kwa hiyo umetimua mbio mbele ya Intelligent businessman na kumpa heshima yake!
Hahaha 😂.Kakimbia yeye kama yupo mwambie areply hii comment leo