secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ni msimu wa ndondi!!
Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani.
Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye anaamini kufuatilia filamu pekee bila ya mazoezi kumemfanya kuwa bora.
Kwa upande mwingine Half american anapewa kiburi na tabia yake ya ukorofi inayomfanya aogopwe na watoto wake na watoto wa majirani, anaamini kuwa hata members wa JF watamwogopa vile vile.
Pambano lilitakiwa kufanyika siku kadhaa zilizopota baina ya vijana wenye damu changa Monetary doctor na Poor Brain limeahirishwa kwani vijana hawa wote walikuwa wanakabiliwa na UE.
Natumai mabondia wote hawa wanamashabiki wao humu hivyo ni muhimu Kila mpiganaji apewe neno la kutia moyo ilikusudi asiingie mitini kwa hofu.
Ni jambo la kusubiri na kuona 😎.