Intelligent businessman na Half american kupanda ulingoni kuzichapa 😎. Pambano la monetary doctor dhidi ya poor brain laahirishwa kisa UE.

Wote waliotajwa kwenye huu uzi pamoja na mwandishi wana utoto sana hapa jukwaani.... ulipotaja UE ndo nimeelewa kwa nini mna utoto sana...
Utoto unatoka wapi mkuu ?

Kwahiyo watu kutaniana ni utoto?

Mbona nawe ukawa kwenye jukwaa na nyuzi ya mtoto ndege ?

Usiwe serious en personal kiasi hicho mzee,

Good afternoon
 
Halafu secretarybird mambo ya kunitag bila idhini yangu iwe mwisho,

Kuna huyu kijana Poor Brain annajidai kapitia jeshi hili hili la majibu wa sheria ?

kwenda kuimba chenja na mabio kukimbia ndo jeshini,

Mimi babako nilipita Rwamkoma JKT mwaka mmoja na nusu, kujitolea nikiwa nasubiri kujiunga na diploma yangu ya ualimu mkwawa university,

Nilikuwa kitengo Cha combat karate, jitu la miraba minne nimepanda hewani,

Ntakudunda mpka unukie kifo, umkimbilie mama supu

Halafu ndege mm ni babako nani ana UE,

Saa hz nawaza pension tuu hapa
Ngoja unyooshwe
 
I'm just joking mkuu 😅🤣😂 usichukulie serious
 
Daaaah ila we jamaa una mbwembwe hatari an umetoa hiyo description as if ni meneja flan hv kumbe jamaa mmoja ambaye ni mkorofi korofi mjini hapa
 
Hahahahahaha me ni meneja dairecta, kubwa la maadui

Baba mzazi wa pua bureini na ndege wa Mombasa

Nina vijana wawili wa kiume, mmoja ni bureini pua yupo na UE, ndege nilimfukuza nyumbani akajenge kiota maporini huko
 
Back
Top Bottom