secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #61
😂Unacheka na moto au 🤔
😂Unacheka na moto au 🤔
Ngoja nimtafute ndugu yangu Kijana Masikini anitabiria pambano mkeka wangu utiki 😄😄Weka mkeka wako kupitia harmful betting ujivunie mshiko wa nguvu
Odds naleta very soon
YesWe ndio refa wao🤔
mkuu nadhani uliona kule nilivyomjibu jamaa kuhusu utabiri, sikumdanganya yule ukweli ni kwamba Utajiri na Utabiri vimeongoka kwa pamoja.Ngoja nimtafute ndugu yangu Kijana Masikini anitabiria pambano mkeka wangu utiki 😄😄
Weka mkeka wako kupitia harmful betting ujivunie mshiko wa nguvu
Odds naleta very soon
Jimix tu kama yas na unajijua we ni Vodaoya semeni location ya pambano ili huyu ndebile nusu albino Half american apasuke mapema
Tukiachana na pambano ambalo tayari mshindi najulikana nna swali nauliza, kwahiyo mmeamua kabisa kunipa ili jina?(nusu albino)
Dah nmecheka sana 😂Mods wakishindwa majukumu watu wanaandaa fist fight.
Poor Brain Ndugu yangu kutoka Ukonga usiingie kwenye mapambano haya hayana maana juzi hapa vijana wamepigana huku kwetu ulongoni mtu mmoja katoka Hana kidudu.
Ignore inatosha
Kama umeshakubali kushindwa pambano basi huna budi kulikubali hilo jinaTukiachana na pambano ambalo tayari mshindi najulikana nna swali nauliza, kwahiyo mmeamua kabisa kunipa ili jina?
Nani atapigwa kati ya Bichwa na Divishen?Mapambano ya Kike hayo, pambano gani watu wanapigana kwa kushikiana viuno na kutikisiana makalio?
Nataka pambano la NDUME to NDUME kati ya BICHWA KOMWE na DIVISHENI FOO.
Mamaaee!!
Bichwa atapigwa mbaya!!!Nani atapigwa kati ya Bichwa na Divishen?
We hata SweetyCandy utamweza?Bichwa atapigwa mbaya!!!
Kipigo heavy, nakozi za double in one, total knock outs!
Ndoige zitatembea haswaa!
Huyo nampiga hogo la mbunye.We hata SweetyCandy utamweza?
😂😂😂, Ila wewe bibie umeshindikana aise.Huyo nampiga hogo la mbunye.
Naam niite raisi wa ma jobless pro max, niko tayari kupiga misumari mikali kwenye kichwa cha ndebile nusu albino Half americanTeam nzima ya Uzi wa Usiku wa Manane tupo pamoja na active member wetu Intelligent businessman
Utajuta ukiwa ushapostika na mishumaaNaam niite raisi wa ma jobless pro max, niko tayari kupiga misumari mikali kwenye kichwa cha ndebile nusu albino Half american