min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ni kweli kabisa sema mwamba mitindo ya humu inaonekana bado hajaijua vizuri tu😅Hahah
Ni kweli kabisa sema mwamba mitindo ya humu inaonekana bado hajaijua vizuri tu😅Hahah
Pambano ni halisi maana tumechoka ngonjera za humu.Pambano ni halisi au linafanyika humuhumu kwa kuchambana?🤣🤣
No man well be buried....... Ungemalizia na hii bwana mkubwaa😂😂😂Niko tayari kumpasua huyo nusu albino a.k.a ndebile Half american
Poor Brain ana kiburi na hatakubali ushauri wako 😄.Mods wakishindwa majukumu watu wanaandaa fist fight.
Poor Brain Ndugu yangu kutoka Ukonga usiingie kwenye mapambano haya hayana maana juzi hapa vijana wamepigana huku kwetu ulongoni mtu mmoja katoka Hana kidudu.
Ignore inatosha
Huyo jamaa sio kama tapambana nae ila takua najipigia..Ni msimu wa ndondi!!
Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani.
Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye anaamini kufuatilia filamu pekee bila ya mazoezi kumemfanya kuwa bora.
Kwa upande mwingine Half american anapewa kiburi na tabia yake ya ukorofi inayomfanya aogopwe na watoto wake na watoto wa majirani, anaamini kuwa hata members wa JF watamwogopa vile vile.
Pambano lilitakiwa kufanyika siku kadhaa zilizopota baina ya vijana wenye damu changa Monetary doctor na Poor Brain limeahirishwa kwani vijana hawa wote walikuwa wanakabiliwa na UE.
Natumai mabondia wote hawa wanamashabiki wao humu hivyo ni muhimu Kila mpiganaji apewe neno la kutia moyo ilikusudi asiingie mitini kwa hofu.
Ni jambo la kusubiri na kuona 😎.
Hakuna mda wa kuchambana ni live live mkuuPambano ni halisi au linafanyika humuhumu kwa kuchambana?🤣🤣
Hapana lazima kieleweke mkuu huyu jamaa kazidi kunichokoza sasa..Mods wakishindwa majukumu watu wanaandaa fist fight.
Poor Brain Ndugu yangu kutoka Ukonga usiingie kwenye mapambano haya hayana maana juzi hapa vijana wamepigana huku kwetu ulongoni mtu mmoja katoka Hana kidudu.
Ignore inatosha
Ngoja unyooshwe kwanza ndipo uje.Huyo jamaa sio kama tapambana nae ila takua najipigia..
Haiwezekani yeye kila nyuzi ananiita mimi mtoto wake...
Am not their son blood
Awezi kuninyoosha kwanZa nikutaarifu tuu...Ngoja unyooshwe kwanza ndipo uje.
Jipange sana maana yule jamaa ni jitu refu lenye six packAwezi kuninyoosha kwanZa nikutaarifu tuu...
Nimepitia jeshi
Hamna kitu pale mi nakiwasha..Jipange sana maana yule jamaa ni jitu refu lenye six pack
Ukipasuliwa usije ukanililia mkuu, nitakuwa sina msaada.Hamna kitu pale mi nakiwasha..
Haiwezekani anasema mimi ni mwanae alafu mama hamjui
Sabasaba takuja huko huko dasalam kwa maonesho sasa mjiandaeUkipasuliwa usije ukanililia mkuu, nitakuwa sina msaada.
Karibu sana mkuu 😎Sabasaba takuja huko huko dasalam kwa maonesho sasa mjiandae
Vijana wanasoma mkuu.Wote waliotajwa kwenye huu uzi pamoja na mwandishi wana utoto sana hapa jukwaani.... ulipotaja UE ndo nimeelewa kwa nini mna utoto sana...
Hahaha mkuu kumbe nilipokuwa napiga degree yangu pale mlimani haikuwa shule.... kumbe ile kukaa hall five room # 1248 first year then Msewe kumbe sikua nasoma....Vijana wanasoma mkuu.
Wewe si uliikimbia shule?