Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Sishindwi lazima apostiwe na mishumaaKama umeshakubali kushindwa pambano basi huna budi kulikubali hilo jina
Sishindwi lazima apostiwe na mishumaaKama umeshakubali kushindwa pambano basi huna budi kulikubali hilo jina
waseme ulingo wa pambano ni wapi, ili wapeleke mishumaa in advanceUtajuta ukiwa ushapostika na mishumaa
Hawa wanachambana tu kama wakojani wa kipembaPambano ni halisi au linafanyika humuhumu kwa kuchambana?🤣🤣
Dadeki😂😂😂.... dosho12 ona jamaa anavyonisingizia wakati mwenyew amesema utajiri wake wa masharti hautak unywe pombe za Bei mbaya wenyewe unataka chibuku na gongo 😂😂😂Ndugu yangu umekuwa na hela kiasi cha kugeuka Kanji! au kuna namna imegeuka sielewi! Isije kuwa ulikula njama na warembo wa jamiiAfrika mnipuputishe!
Hahaha 😂🤣, duh!Sishindwi lazima apostiwe na mishumaa
Tutaliandaa mkuu.Pambano la adriz na Busu la Kenge vipi zilichapwa mkuu??
Nyambulet Busu la Kenge lazima aniogope Mafia The Gun Mana hana ubavu wa kuzichapa na Mimi.Pambano la adriz na Busu la Kenge vipi zilichapwa mkuu??
Dah mkuu umefikia hatua ya kuniita Jamaa🤔 dah inasikitisha sana ipo siku nitarudi kwenye ubora nitasimulia haya yote kama picha.Dadeki😂😂😂.... dosho12 ona jamaa anavyonisingizia wakati mwenyew amesema utajiri wake wa masharti hautak unywe pombe za Bei mbaya wenyewe unataka chibuku na gongo 😂😂😂
Ushaanza mambo yako ya kuhuzunika ndugu yangu....ni matani tu nisamehe kaka🙏🙏🙏Dah mkuu umefikia hatua ya kuniita Jamaa🤔 dah inasikitisha sana ipo siku nitarudi kwenye ubora nitasimulia haya yote kama picha.
Sawa mkuu tupo pamoja, nafurahi kusikia hivyo.Ushaanza mambo yako ya kuhuzunika ndugu yangu....ni matani tu nisamehe kaka🙏🙏🙏
Nikikupa shit ujue ipo kwenye matani uache kuwa mnyonge kiongoziSawa mkuu tupo pamoja, nafurahi kusikia hivyo.
😄😄😄 naelewa kiongozi.Nikikupa shit ujue ipo kwenye matani uache kuwa mnyonge kiongozi
Naomba yafanyike tabata shuleHapana lazima kieleweke mkuu huyu jamaa kazidi kunichokoza sasa..
An kiufupi kanya ninapokojoa
Wanapiga kwa sababu gani? Wakipigana wanapata nn? Muwawekee zawadi sio wapigane tuNi msimu wa ndondi!!
Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani.
Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye anaamini kufuatilia filamu pekee bila ya mazoezi kumemfanya kuwa bora.
Kwa upande mwingine Half american anapewa kiburi na tabia yake ya ukorofi inayomfanya aogopwe na watoto wake na watoto wa majirani, anaamini kuwa hata members wa JF watamwogopa vile vile.
Pambano lilitakiwa kufanyika siku kadhaa zilizopota baina ya vijana wenye damu changa Monetary doctor na Poor Brain limeahirishwa kwani vijana hawa wote walikuwa wanakabiliwa na UE.
Natumai mabondia wote hawa wanamashabiki wao humu hivyo ni muhimu Kila mpiganaji apewe neno la kutia moyo ilikusudi asiingie mitini kwa hofu.
Ni jambo la kusubiri na kuona 😎.
Wanapigana maana kula siku wantunishiana misuli humu hadi wwnasumbua members.Wanapiga kwa sababu gani? Wakipigana wanapata nn? Muwawekee zawadi sio wapigane tu
Muwatafutie ajira ,ushauri wangu,kusinda humu hakusaidiiWanapigana maana kula siku wantunishiana misuli humu hadi wwnasumbua members.
Sasa tumesema hatutaki ngonjera na mipasho tumeamua kuwagombanisha live wachapane ili waheshimiane jukwaa litulie.
Fact 😎Muwatafutie ajira ,ushauri wangu,kusinda humu hakusaidii