International School, watoto hutafuta vitu vitatu tu

Uongo mkubwa sana hujui unachokiongelea KABISA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And what is there Ending?
 
Tutafute pesa Mkuu.
Sipondi hizo shule but alichosema ni uongo hivyo sio vitu ambavyo vinaunda pillars z mitaala kama International Baccalaureate ni moja ya mitaala migumu na bora dunia nzima,, hata USA wanaosoma mitaala hii ni Watt talented na madoni,,,, na huo mtaala ndio unafundishwa hapo IST
Mtt anaingia Kuchukua IB diploma huo muda wa kusafiri anatoa wapi wakat hata weekend wanasoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo ya confidence hebu nenda kanye kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la msingi sana ni Mzazi kumjenga Mtoto inaitwa GROOMING.

If you groom them well at home, make them highly competitive, they will excel no matter which school they attend, no matter what they do. Evidence imejaa kwenye jamii ya Wapemba.

Pata muda ufanye utafiti kuhusu jamii ya Wapemba, utajua mengi ya maana.
 
Connection,network na exposure!

Primary...ada mil.40×miaka7= mil.280.

Secondary...ada mil.40×miaka 4 au 6=240.

Total...mil.520 na bado matumizi mengine,na bado chekechea it's over ahalf billion!

Kwa hela hiyo mtoto hana haja ya kusoma shule hizo maana exposure,connection na net working vinakuja tu automatic,km ni holiday za nje ya nchi you can afford. Friends will come automatically.

MONEY HAS A SMELL TO ATTRACT CONNECTION,NETWORK(FRIENDS) AND EXPOSURE.
 
Mkuu mimi nimesoma shule hizi unazoziiya za international lakini bado nakula msoto mtaani na hakuna chochote nilicho ambulia zaidi ya chai ya maziwa na mayai ya kuchemsha tulokuwa tukipewa asubuhi
 
Kibatala na Mo.dewji Nani ana confidence kuliko mwingine?
 
Hao watoto wako masikini ndio wataliwa kiboga kwa vidola 100 tu. Jivunie tu umasikini wako. Propaganda yako haitosaidia kitu. CCM walisema TL ni shoga, kwani ilimfanya shoga kweli?
Punguza Jazba, pengine ana ushahidi.
 
Nchi hii tulikosa bahati Rais wa kwanza alitakiwa awe mchaga,tayari walikuwa tayari wana exposure ya kutosha wakati huo mbona tungetusua maisha tu,ona wenzetu kenya walivyobahatika ,nawatania tu mwayego msinitoboe macho.
Bora umesema ni utani tu nilisha andaa RPG kusambaratisha kichwa chako na si kutoboa jicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…