Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Tusidanganyane, hakuna asiyependa kuajiriwa. Rejea Nikki wa pili, rejea watoto wa vigogo like Ridhi 1 na wengineo. Mbowe kanyang'anywa ubunge nafikiri uliona alivyohaha. Acha kudanganywa na misemo ya vijiweni.Watoto wa level hizi awawazi ajira au kuajiriwa tayari Wana maisha.
Ni kweli, msaada wa kumsaidia mtu mpaka awe rafiki yako, au umezoeana naye, ni ushamba. Saidia mtu yeyote mwenye sifa stahiki, and leave! That's how true gentlemen live!Hiz
Hao 2 kwa 10 lakini wengi awatupani
Wakati wako badoMkuu mimi nimesoma shule hizi unazoziiya za international lakini bado nakula msoto mtaani na hakuna chochote nilicho ambulia zaidi ya chai ya maziwa na mayai ya kuchemsha tulokuwa tukipewa asubuhi
Tunatofauti mioyoNi kweli, msaada wa kumsaidia mtu mpaka awe rafiki yako, au umezoeana naye, ni ushamba. Saidia mtu yeyote mwenye sifa stahiki, and leave! That's how true gentlemen live!
Hata kurithi kuna hitaji hayo mavituHakuna kitu hapo. Confidence ya wapi watoto wanaandaliwa kurithi na juendeleza mali za wazazi vizuri.
Tueleze ukweli mkuu
Hahaaa wale watoto wanakula Bata acha kabisa, kuhusu kusafiri kwani ni kila siku? Wanasafiri wakati wa LikizoSipondi hizo shule but alichosema ni uongo hivyo sio vitu ambavyo vinaunda pillars z mitaala kama International Baccalaureate ni moja ya mitaala migumu na bora dunia nzima,, hata USA wanaosoma mitaala hii ni Watt talented na madoni,,,, na huo mtaala ndio unafundishwa hapo IST
Mtt anaingia Kuchukua IB diploma huo muda wa kusafiri anatoa wapi wakat hata weekend wanasoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui nazaniume overate sana hizi shule... Kubwa katika shule hizi ni ile IB... Kutumia mtaala wa kimataifa na hata mtoto wa international professional akihama nchi moja hana shida kupata shule anakoenda .. Mfano anatoka Tanzania anahamia Indonesia ipo tena shule kama hii.
Asilimia kubwa wanaosoma hapa ni watoto wa international NGO/ Embassies/ Bank and other international jobs... Si watoto wa wafanya biashara .. Ingawa watoto wa wafanya biashara wapo...
Hivyo swala la networking halipo pale. Kwanza wote ni wanafunzi ... Halafu hawakutani tena maishani .. Ile ni shule kwa mtaala wa kimataifa .... Sio networking school.
Hayo mengine ya exposure na confidence ipo mahali popote kwenye mazingira mazuri ...Hata kupitia makanisa na platform mbalimbali
St Mary's nayo ni International school?Mkuu mimi nimesoma shule hizi unazoziiya za international lakini bado nakula msoto mtaani na hakuna chochote nilicho ambulia zaidi ya chai ya maziwa na mayai ya kuchemsha tulokuwa tukipewa asubuhi
Bata kwa bajeti y wazazi wako. Kwani hapo Mkunduge Shule ya Msingi mmenyimwa kula bata?Hahaaa wale watoto wanakula Bata acha kabisa, kuhusu kusafiri kwani ni kila siku? Wanasafiri wakati wa Likizo
Ni kweli, dunia hii ukiwa na moyo kama huo mshukuru sana Mungu, you're special. Kwamba unamsaidia mtu yeyote anayestahili hata usiyemzoea au asiye rafiki yako, pasi kutaka malipo wala mazoea.Tunatofauti mioyo
Wanakula bata?????????? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]IB curriculum = (mtaala wa advance wa bongo mara)²⁰⁰Hahaaa wale watoto wanakula Bata acha kabisa, kuhusu kusafiri kwani ni kila siku? Wanasafiri wakati wa Likizo
shule ya msingi ligunga harafu anatuchalenji sisiWatoto wako wanasoma wapi?
Sasa unafananisha links walizo nazo kina Mo, Fatema Dewji, Yusuf Bakhresa na hao kina Bashite, Le mutuz???? Hao watu wanaweza kuwa na connections ambazo hata Chief Hangaya hana!Le Mutuz alisomaga wapi? Bashite je? Madelu vp? Jiwe?
Acha uongo, wewe umesoma wapi?Sasa unafananisha links walizo nazo kina Mo, Fatema Dewji, Yusuf Bakhresa na hao kina Bashite, Le mutuz???? Hao watu wanaweza kuwa na connections ambazo hata Chief Hangaya hana!
Uongo wangu upo wapi? Nimesoma IST hapo[emoji16]Acha uongo, wewe umesoma wapi?
Confidence hadi ya kuoa mbwaUmemaliza.... Watoto wa hizi shule wanakua na confidence mpaka imepitiliza