Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

Mtego kivipi [emoji1787]kama ni kuhusu kutumia net bure ni kweli hata mimi natumia bure net hata hata sasa hivi sina bando ila nipo JF
Sever gani unakimbia vizuri kwa thunderstorm ⛈️ Vpn ?
 
Simu yako imepata ajali tu ya kawaida
Mkuu, jaribu kutumia hizo app effectively ndani ya wiki mbili, tena wire tun inaingia hadi YouTube (Server: German2, US4, Canada2), baada ya wiki na nusu urudi hapa tuomboleze kwa pamoja!
Mimi natumia free data kwa vpn miezi 8 sasa tena bila shida yoyote wewe simu yako mbovu kwa sababu hizo app zinapokea data polepole na kutuma polepole ...wewe
 
Mimi nikiweka vpn video zote nilizodownload youtube aziplay
 
Lipia tangazo
 
Sever gani unakimbia vizuri kwa thunderstorm [emoji3547] Vpn ?
Kwani thunder vpn ndiyo hiyo thunderstorm unayo sema ....mimi naset simu yangu vizuri isiendeshe data za nyuma...isipokuwa ninayo tumia tu, kwa sababu hizo app zinasukuma data polepole hivyo kama ukuseti simu yako vizuri inakuwa nzito
 
Watupe tu kwakweli mana bundle zinatufilisi.
Ila sasa kama ndio inaharibu betri mimi na Infinix yangu nitakoma.
Kwa science hamna uhusiano. Labda kama battery yenyewe haikuwa nzuri tu.
 
Joto ni adui mkubwa nambari moja wa lithium battery

Kama ilikuwa inachemka sana labda ni tatizo

Na kwann ichemke ikitumia hizo app? Ni simu aina gani hio..yenye 6000mah bila shaka ni kutoka wanzuu

Maana brand nyingi kwa sasa hazina hio zina 4000 to 5000
 
Ngoja nitoe ushuhuda..

Kipindi flani hivi kulikuwa na Vitonga viwili(kabla havijapigwa pini) nilikuwa nakimbiza balaa masaa 24 kama nimeweka bando bila kukwamakwama ila nilichogundua ni kweli Vpn zinaharibu betri kwani betri chaji inaisha chap nikiperuzi kwa Vpn tofauti na Data ya kawaida kama una simu bomu tegemea betri kuisha haraka sana.

Baada ya kupigwa Pin Vpn ninazo tegemea na kurudi uraiani nimeona mabadiliko kidogo kwenye simu kwenye kukaa na chaji tofauti na zamani japo mimi mwenyewe nina matumizi mengi ila Vpn inalichangia kea kiasi fulani japo sio kwa kiwango kama kikubwa kama uzi ulivyoeleza.
 
WTF! Are you serious?!
 
kosa ni kuweka kwenye friji
 

Ukisha download thunder vpn unafanya nini kingine? Hamna setup labda?
Hamna kama hauna bando washa data connect ikija kifunguo we nenda zako wasap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…