Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

Speed yenyewe inachezea kb 14 sasa si bora ata kobe[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] inawafaa ndugu wa facebook
Wenzako tume icraki hiyo vpn tynasrmeka kama vip tumia tumieni akili ....maana hata kwenye maelezo ya hiyo vpn wamesema wazi kuwa wale wasio VIP watapata huduma polepole ila ukiwa VIP SPEED INAONGEZWA AU KUSOMA AMJUI
 
sasa we unadhan sina akili navokwambia hakuna internet ya bure kwa vpn? vpn inafanya kazi inaoitwa TUNNEL NETWORKING, kazi yake ni kuforge requests sio kutoa internet ya bure na VPN yenyewe bila internet haifanyi kazi
Hapo kwenye neno Internet sijui unamaanisha nini ? Kama unamaanisha vpn haifanyi kazi bila bando la Internet basi umekosea hii thunder vpn ina connect bila ya bando cha muhimu uwashe Internet tu hata kama hauna MB
 
Huyo hatakuwa ni mnyonyaji wa makampuni ya simu ya ROSTAM AZIZI ana tafuta kututoa kwenye net za bure mbona mimi simu yangu aichemki na natumia kwa zaidi ya miezi 8 hizo huduma za bure
Tufahamushe na sie tutumie vya bure
 
Hakuna cha free internet hapo.. bila kuwa na local network huwezi kuacces hizo servers, kwa ufahamu kwamba internet sio bure
 
Huyo hatakuwa ni mnyonyaji wa makampuni ya simu ya ROSTAM AZIZI ana tafuta kututoa kwenye net za bure mbona mimi simu yangu aichemki na natumia kwa zaidi ya miezi 8 hizo huduma za bure
Janja ya nyani au siyo!
 
sasa we unadhan sina akili navokwambia hakuna internet ya bure kwa vpn? vpn inafanya kazi inaoitwa TUNNEL NETWORKING, kazi yake ni kuforge requests sio kutoa internet ya bure na VPN yenyewe bila internet haifanyi kazi
VPN unapata internet ya bure acha ubishi nimemunua mb 5 kwa sh 12 kwenye t pesa kwenye kifurushi cha bufee nimedownload
Movie ya orphan kill mb 700

Natumia http custom vpn
 
Wakuu, kwa watumiaji wa Vodacom, VPN ipi inakasi zaidi kwenye free Net? Vipi kuhusu setting zake?

Msaada tafadhari!

Tumshukuru Mama...
 
Hivi hili suala la VPN kukupa free internet linafanyaje kazi, embu tuanzie hapo kwanza? Ni internet ya satelite ama?

Pia kama kuna tatizo hilo la kuchemka na kutumia sana betri, uwezekano mkubwa ni kuwa hizo free service zinafanya simu zinazotumia ziwe target kwa wadukuzi wanaozitumia kama server.
 
Back
Top Bottom