Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,164
- 2,968
Salute mzeeee.... duhhh aisee.. me GB20 simaliz .. matumiz gani hayo mkuu 300 GB zinakwisha..?? PersonalKuna VPN tulikuwa tunatumia around 2017 hadi 2018.
Per month nilikuwa nagonga 300GB, Hapo kuna wahuni walikuwa wanafikisha terabyte.