Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

Kuna VPN tulikuwa tunatumia around 2017 hadi 2018.

Per month nilikuwa nagonga 300GB, Hapo kuna wahuni walikuwa wanafikisha terabyte.
Salute mzeeee.... duhhh aisee.. me GB20 simaliz .. matumiz gani hayo mkuu 300 GB zinakwisha..?? Personal
 
Hatimae nimeanza kuona uwezo halali wa 4G.
Mitandao mingine Waachane na promo za 5G watuletee e-sim kwanza kama Airtel.

IMG_1242.png
 
Back
Top Bottom