The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Watu wanalipa pesa wapate nafasi na kwenda israeli,kikubwa pesa tu.Intership na nafasi nyingi nazo ni connection labda kama wanafanyisha interview wenyewe ila kama wasimamizi ni wabongo hamna kitu ..
Ishu ipo wazi kila kona huo ujinga upo usije na ujinga wa ukanda wako ,chuo kina watu mchanganyiko sasa elimu kila acheni ubaguzi wa kijinga mtu akifa mnataka huruma ya watanzania wote ,pelekeni huo msib huko kwenu kama mnaleta ubaguzi.
Program ina miaka 9 kama sio kumi ukakae ughaibuni mwaka urudi na milioni 4 hivi hamna huruma na vijana wetu kabisa jamani embu tumieni komoni sensiDogo hiyo programme ipo zaidi ya miaka minne. Uliishasikia Kila wakienda wanakufa? Imetokea mara moja, tena kitendo cha kigaidi unaleta ngonjera humu? Kwahiyo hutaki waende? Ushamba wa wapi huu!?
mkwanja mrefu my foot kama kijana katokea familia maskini akituma pesa nyumbani mara kadhaa tu harudi na kitu acheni upotoshaje anayepata pesa kwenye hii program Mama Temu acheni upotoahajiKule wanajifunza kufanya kilimo Kwa vitendo ndio maana wanapewa diploma. Israel ipo advanced kwenye masuala ya kilimo. Wanazalisha chakula kingi na kusambaza duniani. Halafu wanaoenda kule sio watanzania tuu hata watu kutoka mataifa mengine wanaoenda. Kuna jamaa mmoja tulikuepo shortcourse Thailand anatokea Timor Leste alienda israel kwenye mafunzo. Halafu kule wanapokea mkwanja mrefu Sana . Wanarudi na chochote kile Tanzania
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Tukiwaangalia wachaga kwa mtazamo chanya, ndiyo watu wanaoweza kuungana na yeyote, mradi tu kuwe na faida. Huu ubinafsi tunauona kinyume kwa sababu ya fikra hasi.Ivi wewe unawajua wachanga wewe, hawawezi kuunganika ni wabinafsi sana
Hapa changamoto ni tafsiri ya elimu.Hii suala watu wa sua waulizwe,wanaujua ukweli kuwa wale vijana wanaenda kukamua maziwa ng'ombe,mbuzi, wala si intership.
Mtu ana degree anaenda huko eti kutawaza mbuzi,kubeba kuku,kufagia mabanda ua wanyama.
Hiyo sugeco kwa sasa ni hadi watu wanalipia kwenda israeli.
Sua hapa wawajibike.
We acha tu! Mengi yatajulikana. Eti wanasema tusichimbe, kwani hilo ni suala la Serikali.Huu utaratibu wa kupeleka vijana Israel;
1. Nani anaratibu?
2. Sifa za kujiunga Ni zipi? Maana naona wanufaika wanatokea Kanda ya Kaskazini zaidi, Kuna nn hapo? Ukute Coordinator Mangi anapata Dola zake kimyaa huku vijana wanafuata kifo.
3. Usalama wao upoje? Shambani/vitani.
4. Je, ipo MoU au makubaliano yoyote? Au ndo modern slave trade/human trafficking?
Connection na pesa tuWatu wanalipa pesa wapate nafasi na kwenda israeli,kikubwa pesa tu.
Hata vyeti havitumiki pale kwenye usaili wala popote.
Utakuta mtu hata kilimo hakijui wala hajasomea mambo hayo amehonga pesa aende na anaenda kuogesha mbuzi wa kiyahudi.
Sugeco waje hapa wakatae rushwa iliyoko hapo.
Ongea unayoyajua mzee Arusha ina wamasai tu? WaPo watu lukuki hapo me siangaliii kabila me naangalia ukimuuliza mtu unaishii wapi anajibu, Arusha na moshi kuna wanafunzi wengi vyuo vikuu kutokea pande hizoLabda Kilimanjaro tu, Arusha wamasai na shule wapi na wapi?
Unaongea hata usiyo yajua nikuache tuIntership na nafasi nyingi nazo ni connection labda kama wanafanyisha interview wenyewe ila kama wasimamizi ni wabongo hamna kitu ..
Ishu ipo wazi kila kona huo ujinga upo usije na ujinga wa ukanda wako ,chuo kina watu mchanganyiko sasa elimu kila acheni ubaguzi wa kijinga mtu akifa mnataka huruma ya watanzania wote ,pelekeni huo msib huko kwenu kama mnaleta ubaguzi.
Bila picha huu ni uongo, ukiwa na degree ndo unachagua kazi! Degree ni nini kwa unexperienced personel?Hii suala watu wa sua waulizwe,wanaujua ukweli kuwa wale vijana wanaenda kukamua maziwa ng'ombe,mbuzi, wala si intership.
Mtu ana degree anaenda huko eti kutawaza mbuzi,kubeba kuku,kufagia mabanda ua wanyama.
Hiyo sugeco kwa sasa ni hadi watu wanalipia kwenda israeli.
Sua hapa wawajibike.
Mzanzibari ulimuona wapii akataka maisha ya hustlers njoo uone wanafunzi wa kizanzibar walivyoWazanzibari hizi fursa hawapewi mnaenda Waz-Kaskazini tu?
Ushahidiii wa picha pleaseProgram ina miaka 9 kama sio kumi ukakae ughaibuni mwaka urudi na milioni 4 hivi hamna huruma na vijana wetu kabisa jamani embu tumieni komoni sensi
Ahsante kwa Taarifa.Dalali wao anaitwa Dr Temu pande za Sua wanakulipia nauli Na Visa ukilipwa wanakukata cost zao
Wanawahadaa vijana wenye Degree ukienda shambani unalipwa na unatoka na Cheti cha Diploma ya Agriculture hivi uwe na Degree then utunukiwe Diploma ππ
Kuna kijana mmoja nilimskitikia sana mzazi wake baada ya kuniambia Kijana wake kafanikiwa kwenda Israel kujifunza masuala ya Intelijensia kwa udhamini wa Serikali
Kila kitu kitajulikana yule wa Urusi kafikaje pale mpaka kupigana vita vita ?Ni wa huko kaskazini..
Serikali ikae chin ifuatilie tangu yule wa kwanza...Kuna kitu hapa .
Unafikria kutoka nchi fulani kwenda nyingine kupata kazi kama jeshini ni rahisi tena sehemu nyeti kweny usalama wa taifa.
Kurdish maiti inategemea ntu na ntuOoh ok. Huko Mbarali wanarudi Maiti? Jambo hili linasikirisha. Wabunge waunde tume
π π π..hata aliyeshiriki ktk shambulizi la kigaidi Kenya alikuwa Mtanzania toka Kaskazini. Tena anatokea familia ya wafanyabiashara matajiri.
Nipinge kwa hoja za msingi,sio kusema uongo.Bila picha huu ni uongo, ukiwa na degree ndo unachagua kazi! Degree ni nini kwa unexperienced personel?