Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kitu kingine kinahitaji evidenceHow about circumstantials kupelekea kupokea pesa na kupika results?
Kazi hiyo sio yako wala yangu ni ya mahakamaUshahidi wa mazingira haupo hapo?
Mwenendo wa mlalamikiwa
Hoja husika iloyotawala huko Kenya ni Urais wa RutoMkuu unatoka nje ya mstari.
Jiulize CCM ilisajiliwa lini kama chama cha Siasa?Na watengezaji wa hizo hoax news ni wabongo hasa yale machawi ya CCM ili ku justify unyani wao wanaofanya hapa. CCM roho inawauma sana kwa yaliyotokea Kenya maana wamedhihirika wao ni Nyani kwa hii NEC yao.
Huyu ni kamishna na mpenziwe Joho aka mtoto wa Odinga.Jiulize CCM ilisajiliwa lini kama chama cha Siasa?
CCM ni chama Dola so usiifananishe na hizo Chaguzi ndogondogo
Odinga ndiye anateua makamishina wa IEBC?Huyu ni kamishna na mpenziwe Joho aka mtoto wa Odinga.
Jiwe alimfundisha ujinga mwingi Raila.
Ili kampuni iamue kutoa rushwa ya pesa yote hiyo kwani gharama ya kuprint hizo ballot papers ni kiasi gani? Hii ni taarifa ya kumchafua Chibukati, waoneshe hiyo taarifa ya Interpol siyo gazeti liisemee.Kwa doa hili tuna amini mwenyekiti hana uadilifu tena na hafai
Yawezekana baadae ushahidi ukatolewa wa rushwa nyingine ya kupindua matokeo
Ila hata mimi siwezi acha hela aseeh
Jijibu.Odinga ndiye anateua makamishina wa IEBC?
Haihusiani kivipi inaonekana hana msimamo sasa kama alichukua hela hyo atashindwa kuchukua na kwingine kama ni kweli itamletea shidaHii haiusiani na issue ya matokeo ya urais