Interview kwa watoto wanaoingia Nusery School ni haki kweli?

Nikamuambia sasa kama hajui kusoma na kuandika si ndo mumfundishe? Eti hooh, hiyo haiwezekani kabisa....
Sasa kama anajua kusoma na kuandika, hapo nursery wao watamfundisha nn?

Dogo apigwe interview, hiyo hali iliyokukuta unaweza baki hauna majibu, unatoa tu macho au ukaanguka na vichekoo

Ni kama comedy flan hiyo nursery
 
Hapo wanataka kupiga hela tu. hata kwa walioanzisha nursery school wazungu hawana mambo ya kipuuzi kama haya. Ni mikwara tu hakuna lolote hapo. Maana nursery ipo kumjenga mtoto wa miaka 3 kwenda mitano kujua numbers, michezo kusocialize na baadhi ya maandishi na namna ya kutamka. hakuna kustress. Hao ni waongo kabisa.
Imebidi niondoke tu kwa upole maana hata hao walimu wenyewe niliona hawana logic....
 
Mdogo wangu anasoma shule Moja basi la njano anarudi amechoka sana😬 home work kibao aise
Aisee pole kwake. yani sema wabongo kwa kuvamia vitu vya wazungu tupo vizuri sana. hadi homework kibao. maskini kawaida wanapaswa one homework. yani napata hasira nikisia wanawachosha watoto wadogo. yani kwa uzoefu wangu sio hivyo. halafu watoto hawaenjoy nursery sana.
 
Huu upuuzi hata mm niliuona Dodoma, binafsi sikuelewa kabisa maana yake, tena hawa wanampanna mtihani kabisa wa hesabu [emoji174] sasa unajiuliza mtoto wa nursery anayejua vyote hiv si aende la kwanza tu ?
Binafsi naona ni mateso kwa wazazi

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Ni tatizo kubwa... inaonesha kabisa kwamba bado hata walimu wa hizi shule hawajui dunia inapokwenda.... yaani kabisa unaweka interview kwa mtoto wa miaka 3.... huu ni upumbavu
 
Mimi nina mwanangu ana miaka 4 alikuwa hajaanza shule kwa kweli maana nilikuwa namuona kama ni mdogo sana bado.

Sasa, sasahivi ndo naona angalau kamekua kidogo, hivo nimeona ni busara aanze rasmi shule.

Ila juzi kati hapa kuna shule ya Nusery ipo karibu na ninapoishi, so nilienda kwa lengo la kumtafutia nafasi ili aanze shule.

Kinyume na fikra zangu kwamba mambo yatakuwa straight forward, ila nimeshangazwa sana baada ya kuambiwa hapa hawapokei mtoto asiyejua kusoma na kuandika, na kwamba eti kabla ya kuingia huwa wanatakiwa wafaulu interview.

Akaendelea kuniambia kwamba, hata kama ni mtoto wa miaka 3. Lazima ajue kusoma na kuandika ndo aingie hapo.

Kwa kweli hapa nimejikuta nipo kwenye hali ya kushangazwa sana na hichi kitu. Yaani naona kabisa hizi ni complication ambazo hazina msingi.

Halafu naona kabisa hawa watoto wadogo wa miaka mitatu wanaolazimishwa kujua kusoma na kuandika, hichi kitu kitakuja kuwaathiri sana miaka ya baadae. Sijui huu utamaduni wa kishenzi umetoka wapi, yaani mtoto wa miaka mitatu au minne, eti humtaki kisa hajui kusoma na kuandika.

Hivi no halali kweli hii issue? Au ni jamii yetu inazidi kupotoka
Mimi nilidhani kipindi wanasema interview lengo ni kula zile 30000
 
Aisee pole kwake. yani sema wabongo kwa kuvamia vitu vya wazungu tupo vizuri sana. hadi homework kibao. maskini kawaida wanapaswa one homework. yani napata hasira nikisia wanawachosha watoto wadogo. yani kwa uzoefu wangu sio hivyo. halafu watoto hawaenjoy nursery sana.
Sahizi shule itageuka terrible Kwa watoto dogo apa namuona kabisa hataki shule kuamka saa 6:10 am gari linapita😬 kurudi saa 5pm apo akutane na homework za kutosha kesho tena msoto ule ule mpaka jumamosi
 
Kuna mwanangu mmoja akiwa sijui kg 3 ilikua kila siku anaumwa asubuhi mara kidole mara tumbo yani hoi kabisa kumbe shida na mzunguko wa school bus
 
Kama wazazi tuna wakati mgumu sana katika malezi, kila mtu anaongea lake, walimu huko mashuleni wanakuja na yao mengine hata hayaeleweki yani.
 
Mimi nina mwanangu ana miaka 4 alikuwa hajaanza shule kwa kweli maana nilikuwa namuona kama ni mdogo sana bado.

Sasa, sasahivi ndo naona angalau kamekua kidogo, hivo nimeona ni busara aanze rasmi shule.

Ila juzi kati hapa kuna shule ya Nusery ipo karibu na ninapoishi, so nilienda kwa lengo la kumtafutia nafasi ili aanze shule.

Kinyume na fikra zangu kwamba mambo yatakuwa straight forward, ila nimeshangazwa sana baada ya kuambiwa hapa hawapokei mtoto asiyejua kusoma na kuandika, na kwamba eti kabla ya kuingia huwa wanatakiwa wafaulu interview.

Akaendelea kuniambia kwamba, hata kama ni mtoto wa miaka 3. Lazima ajue kusoma na kuandika ndo aingie hapo.

Kwa kweli hapa nimejikuta nipo kwenye hali ya kushangazwa sana na hichi kitu. Yaani naona kabisa hizi ni complication ambazo hazina msingi.

Halafu naona kabisa hawa watoto wadogo wa miaka mitatu wanaolazimishwa kujua kusoma na kuandika, hichi kitu kitakuja kuwaathiri sana miaka ya baadae. Sijui huu utamaduni wa kishenzi umetoka wapi, yaani mtoto wa miaka mitatu au minne, eti humtaki kisa hajui kusoma na kuandika.

Hivi no halali kweli hii issue? Au ni jamii yetu inazidi kupotoka
Yaani hao wanatakiwa kufutiwa usajili shule ya vidudu mara moja. Shule ya vidudu kazi yao ni kulea tu watoto umri huo na kuanza kuwafundisha a,b,c na 1,2,3. Hii tabia ya uroho na ubabaishaji umerudi kwa nguvu sana tangu samia kua rais
 
Back
Top Bottom